PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wajuba niaje... fifa 19 lina nizingua pad. Ukiset pad hazichez uki download data za pad setting na uka copy inakua log aichezi na direction ya juu unakuta ndo ina enda chini ya chini juu
 
Wajuba niaje... fifa 19 lina nizingua pad. Ukiset pad hazichez uki download data za pad setting na uka copy inakua log aichezi na direction ya juu unakuta ndo ina enda chini ya chini juu
Pad ipi unatumia?

Umeweka driver zake?
 
Pad za pc tu kawaida... nme angalia angalia tutorial youtube saiv fresh lakin tatizo ni kua log imekua haichez[emoji1438]‍[emoji3603]
kwa fifa controller huwa zinasetiwa ndani ukishafungua game.
Huenda hujaseti kutumia log.
 
Kama mtu anajiweza FIFA 19 andondoshe ORIGIN ID yake hapa tukipige live..only PC (Origin)
 
kwa fifa controller huwa zinasetiwa ndani ukishafungua game.
Huenda hujaseti kutumia log.

Mm nmeweka fifa 19 leo lkn nakwama kwny drill kabla ya kuanza mechi naishia kufanya drill mechi haianzi
 
Mm nmeweka fifa 19 leo lkn nakwama kwny drill kabla ya kuanza mechi naishia kufanya drill mechi haianzi
Nipe spacification za pc yako pls.

Processor
Ram
Gpu
 
Nipe spacification za pc yako pls.

Processor
Ram
Gpu

Sidhani kama specs ni tatizo maana game inafunguka fresh kbs ila naishia mpk kwny zile drill nacheza hata mara 10 haiji option ya kwenda kwny mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…