PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Unajisajili kawaida Open Origin ktk PC unajaza data zako wanakutumia email, ukiverify tu you are good to go....easy kabisa kama unakwama sehemu let me know

Make sure umeidownload ktk PC coz simu inazingua
Ivo kufungua origin kumbe bongo inawezekana???mbona Mimi yangu inakataa!!!
 
Unajisajili kawaida Open Origin ktk PC unajaza data zako wanakutumia email, ukiverify tu you are good to go....easy kabisa kama unakwama sehemu let me know

Make sure umeidownload ktk PC coz simu inazingua
Ngoja nijaribu
 
FIFA 20 is [emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_2019-12-02-08-23-32.jpeg
 
Wakuu niko na install PES 17 hapa but inakataa inaleta message

The application was unable to start correctly (0x00007b) click OK to close application.

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu niko na install PES 17 hapa but inakataa inaleta message

The application was unable to start correctly (0x00007b) click OK to close application.

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye file la game uliloextract kaangalie kama kuna file linaitwa _redist kama kuna software humu inistal zote.
Pc iconnect na internet ili iweze kukamilisha inistallation ya direct x.

(Umedownload hilo game wapi?)
 
Mkuu nimefanya hivo lakini bado nmefeli labda unisaidie jinsi ya kuwaza ku download PES 17 au FIFA 17 kutokana na specifications za PC naona hizi ndo games zitacheza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huko ulikolichukua linafanya kazi huna haja ya kudownload tena. Kaongee nae akusetie fresh au mimi ningekuwa karibu ningekusaidia kutroubleshoot.
Pc yako ina uwezo gani?
 
Kama huko ulikolichukua linafanya kazi huna haja ya kudownload tena. Kaongee nae akusetie fresh au mimi ningekuwa karibu ningekusaidia kutroubleshoot.
Pc yako ina uwezo gani?

Ram 4GB
Core i5
Processor intel
64bit

Kibaya mwana alienipa amsepa dsm alikuja mkoani one time Kwa ajili ya Christmas ningemuomba anisaidie ku install tena yeye Pc ake ni Core i3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ram 4GB
Core i5
Processor intel
64bit

Kibaya mwana alienipa amsepa dsm alikuja mkoani one time Kwa ajili ya Christmas ningemuomba anisaidie ku install tena yeye Pc ake ni Core i3

Sent using Jamii Forums mobile app
Gpu yako ni ipi?

Hiyo 4gb ram haitoshi kwa fifa17. kama una gpu nzuri unaweza kuongeza ram 4 ikawa 8gb ukacheza fifa19 au pes2019.
 
Back
Top Bottom