Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Mkuu nisaidieGpu yako ni ipi?
Hiyo 4gb ram haitoshi kwa fifa17. kama una gpu nzuri unaweza kuongeza ram 4 ikawa 8gb ukacheza fifa19 au pes2019.
kama unataka ubora wa graphics pc ni nzuri.Ivi kati ya Xbox , PS4, na computer. Console ipi nzuri kwa kucheza gemu za mpira. Na yenye graphic nzuri kati ya izo . Me napenda kutumia laptop.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama pc yako ina hiyo intel hd4000 pekee hapo huwezi.Mkuu nisaidie
Pc yangu
Ina core i5 generation ya 3
Intel hd 4000
Processor 2.7GHZ
Video memory 2GB
Pes 2017 inacheza vizur tu
Vipi fifa 17 na 18 zitakubali kucheza
Sent using Jamii Forums mobile app
nafikiri nyingi zenye 8gb ram, core i series processor(2nd gen+) na dedicated graphic card. Hasa za kuanzia 2gb.Nimemiss kucheza fifa 18, 19. Tokea pc izingue sijacheza kitambo sana . Laptop gan nzuri kwa gaming . Gaming through pc is so amazing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina hiyo pekeekama pc yako ina hiyo intel hd4000 pekee hapo huwezi.
Ila kama ina gpu nyingine ya invidia au radion ungesema ni ipi.
Mkuu nisaidie magem design ya call of duty ambayo yanacheza kwenye hiyo pchuchezi fifa 17 wala pes 2018 hapo.
Halaf mkuu kuna jamaa yangu ana pchuchezi fifa 17 wala pes 2018 hapo.
inaleta error gani?Halaf mkuu kuna jamaa yangu ana pc
Yenye hiz specification
Intel graphics 5500
Gforce Nvidia 850
Ram 4GB
HDD 500
Processor 2.5
Core i5 5th gen
Video memory 4GB
Nikiweka fifa 19 inakataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia fitgirl 33gb tu.nisaidie gta5 ya pc chief
Cheki hapo.
PC ni tamu kuliko consoleMe napenda games..na nilianzia kucheza PC games lkn nilivyoonja utamu wa FIFA 17 Kwny PLAYSTATION 4 na baadae FIFA 18 dah ni balaa..yan hamu ya kucheza games za mpira kwny PC iliisha kabisa..
Ngoja nitafuta pc yenye specification izo nianze kucheza gemu. Huwa nalimisi gemu mpaka mikono inatetemeka Yani. Nina alosto kinoma hapa.nafikiri nyingi zenye 8gb ram, core i series processor(2nd gen+) na dedicated graphic card. Hasa za kuanzia 2gb.
Cheki hapo.
PES2017 SmokePatch17
SmokePatch Football Life: Download the latest version and mods for PC. updated rosters and content, enhanced graphics, and simulation gameplay.www.pessmokepatch.com
Naomba unitajie low price laptop nayoweza enjoy gemu zote za fifa .inaleta error gani?
Mngeongeza ram kwanza halafu mpunguze graphics setting za game kuwa low.
Game zote za fifa kuanzia 17 inataka pc yenye spacification kama hizo umeni quote hapo juu.Naomba unitajie low price laptop nayoweza enjoy gemu zote za fifa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi uipate hii kitu...ni nzuri sana asee