PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Pre order tayari ni usd 70 on steam na store nyinginezo

Mzigo unashuka September so unaweza anza kujichanga...


Halaand Superstar cover.
sema cover imekaa kiwaki japo sio muhimu.



Pc lazima iwe na uwezo ufuatao au zaidi ya huu

SYSTEM REQUIREMENTS​

  • MINIMUM:
    • OS: Windows 10 - 64-Bit
    • Processor: Intel Core i5-6600K @ 3.50GHz or AMD Ryzen 5 1600 @ 3.2 GHZ
    • Memory: 8 GB RAM
    • Graphics: NVIDIA GeForce GTX 1050 Ti 4GB or AMD Radeon RX 570 4GB
    • DirectX: Version 12
    • Network: Broadband Internet connection
    • Storage: 100 GB available space
  • RECOMMENDED:
    • OS: Windows 10 - 64-Bit
    • Processor: Intel Core i7-6700 @ 3.40GHz or AMD Ryzen 7 2700X @ 3.7 GHZ
    • Memory: 12 GB RAM
    • Graphics: NVIDIA GeForce GTX 1660 or AMD RX 5600 XT
    • DirectX: Version 12
    • Network: Broadband Internet connection
    • Storage: 100 GB available space
 
Nasubili zile sites za random code inapunguaga hata USD 10
 
Nilimaanisha maalezo kidogo unapataje pataje hizo site unazoweza nunua kwa usd 10????

Yaani inakuwaje kuwaje?
No, Yani kama inauzwa $70 basi utaipata $60 na sometimes na ishatokaga kadr muda uvyozd kwenda uwa sometimes wapunguza bei
 
Mzigo uwaapa gb 39 na Kuna baathi ya repack wameshauweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…