PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wakuu habari..

Nina fifa19 kwenye pc yangu..
Nimecheza kama wiki mbili fresh kabisa, saivi haifunguki kabisa . Niki"click ile link ya kufungua ina load kama ukiwa unarefresh computer afu haifunguki chochote...

Computer ni Lenovo yoga X360 core i5 6th gen.
Ram 8
SSD 256

Msaada wakuu wiki ya pili sasa sijacheza game
Kama una antivirus au window defender Ina Tabia ya ku block suspicious exe file wanahisi Kuna virus Yuko ndani kwaiyo ili kuondokana na iyo tatizo kwanza

Ingia kwenye antivirus yako au defender kisha setting au manage setting alafu threat au exclusions Kisha add kule utakua safe [emoji4]
 
SP walishaacha kutoa Patches za PES, now days wana game lao linaitwa Football Life..

Nipe site nyingine??
 
Back
Top Bottom