makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Itakuwa weekend ijayo,maana hii ndio tunaimaliza leo.Sawa chief weekend utanchk bhas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa weekend ijayo,maana hii ndio tunaimaliza leo.Sawa chief weekend utanchk bhas
yes kakaItakuwa weekend ijayo,maana hii ndio tunaimaliza leo.
Kikawaida mkuu pc ni nzuri zaidi sema toka haya majanga ya Bitcoin yaje Gpu hazipatikani kabisa na ukiipata gpu ya 100,000 utauziwa 500,000.Mkuu Chief-Mkwawa samahani kwa usumbufu....
Je kati ya Ps4 na gaming PC ipi ni option nzuri??
Kama ni Pc, je ni ipi yenye uwezo wa kusukuma FiFa21, atleast na ambayo unahisi itaweza sukuma fifa22 mwakani
Pc nitahitaji Used.
Bajeti yangu ni 700k....
Asante
Shukrani mkuu...asante kwa ushauri nitaufanyia kaziKikawaida mkuu pc ni nzuri zaidi sema toka haya majanga ya Bitcoin yaje Gpu hazipatikani kabisa na ukiipata gpu ya 100,000 utauziwa 500,000.
Labda utafute laptop yenye dedicated gpu hii used angalau unaweza pata kwa bei reasonable, Fifa sio game zito sana, pc yenye low end gpu kama hizi mx series itacheza.
Otherwise nunua ps4 yenye version chini ya 9, Hack ama tafuta mtaalam ai hack kisha download tu games zako.
Naam mkuu , hivi ukitaka PES 2021 wachezaji wacheze kwa kasi unafanyaje ?Kikawaida mkuu pc ni nzuri zaidi sema toka haya majanga ya Bitcoin yaje Gpu hazipatikani kabisa na ukiipata gpu ya 100,000 utauziwa 500,000.
Labda utafute laptop yenye dedicated gpu hii used angalau unaweza pata kwa bei reasonable, Fifa sio game zito sana, pc yenye low end gpu kama hizi mx series itacheza.
Otherwise nunua ps4 yenye version chini ya 9, Hack ama tafuta mtaalam ai hack kisha download tu games zako.
Sijaelewa game lipo slow ama linarun vizuri tu ila unataka kuongeza speedNaam mkuu , hivi ukitaka PES 2021 wachezaji wacheze kwa kasi unafanyaje ?
Specification za PC ni Acer nitro Nvidia GTX 750 resolution 1080
Yah kuongeza game speedSijaelewa game lipo slow ama linarun vizuri tu ila unataka kuongeza speed
Wakati unacheza mechi pause kisha nenda system setting angalia kuna menu ya game speed adjust speed unayotakaYah kuongeza game speed
Sawa ahsante mkuuWakati unacheza mechi pause kisha nenda system setting angalia kuna menu ya game speed adjust speed unayotaka
@Chief-Mkwawa msaada mkuuWakuu habari..
Nina fifa19 kwenye pc yangu..
Nimecheza kama wiki mbili fresh kabisa, saivi haifunguki kabisa . Niki"click ile link ya kufungua ina load kama ukiwa unarefresh computer afu haifunguki chochote...
Computer ni Lenovo yoga X360 core i5 6th gen.
Ram 8
SSD 256
Msaada wakuu wiki ya pili sasa sijacheza game
Kama unayo setup toa hilo weka upya, sometime ant virus inakula Crack (kama hujanunua umechakachua)Wakuu habari..
Nina fifa19 kwenye pc yangu..
Nimecheza kama wiki mbili fresh kabisa, saivi haifunguki kabisa . Niki"click ile link ya kufungua ina load kama ukiwa unarefresh computer afu haifunguki chochote...
Computer ni Lenovo yoga X360 core i5 6th gen.
Ram 8
SSD 256
Msaada wakuu wiki ya pili sasa sijacheza game
Itabidi niangalie maana ni mtu tu aliniwekea linasoma more tha 32 gb..Kama unayo setup toa hilo weka upya, sometime ant virus inakula Crack (kama hujanunua umechakachua)
Unaweza kumuuliza maybe setup ipo mahala fulani. Unaweza kurepair crack kama unajua ni ya nani ila process zake ni ngumu sana.Itabidi niangalie maana ni mtu tu aliniwekea linasoma more tha 32 gb..
Sijajua kama lina setup yake ndani
Nimeshamuuliza, inaonekana alifanya installation tuu..Unaweza kumuuliza maybe setup ipo mahala fulani. Unaweza kurepair crack kama unajua ni ya nani ila process zake ni ngumu sana.