Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
- Thread starter
- #981
Mimi shida sio steam ni kwanza isomwe na pc ndio kipengeke kinaanza yaani pad inakuwa haiwi connected. Wakati ilitakiwa zote ziwe zimeunganishwa. Sasa taa ya bt inabaki kublink tu. Na kule tayari iko paired.Jaribu kucheki hapa
![]()
Steam Community :: Guide :: Set up Controllers for Local Multiplayer Versus
Learn how to use Steam Overlay to set up many controllers for "local multiplayer versus"....steamcommunity.com
Wakati unaplay unabonyeza ps button kuna menu inatokea ku assign player 1 ni yupi na 2 ni yupi
Yaani ni kama inataka pad isome moja tu. Nikisha konect moja ile nyingine inabaki kusearch tu hivyo nikifanya kwa nyingine.
Naunganisha ya kwanza inakubali nikiwasha ya pili inakataa kuunganika na pc. Au huwezi kuunganisha pad zaidi ya moja kwa bt?