Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Chief-MkwawaWakuu habari zenu. Samahanin natoka nje ya mada kidogo... Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga, so anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi anaeweza kunisaidia naomba anisaidie mana hapa nimekwama nimeshauliza mafundi mbalimbali ninaowajua wameniambia hiyo ni kesi ngumu
Hazibadilishiki,Zinabadilishika psu?
Mkuu nimecheki vizuri, unaweza badil psu sema psu zao Tu. Kuna 400W psu yenye 6 pin GPU connector inakubali hio machine, ina maana gou za kawaida kama 1060, 1660 etc zitakubali, 6 pin mwisho ni GPU ya 150w.Zinabadilishika psu?
Oky boss nipe link umeona wapi hiyo cpu...Mkuu nimecheki vizuri, unaweza badil psu sema psu zao Tu. Kuna 400W psu yenye 6 pin GPU connector inakubali hio machine, ina maana gou za kawaida kama 1060, 1660 etc zitakubali, 6 pin mwisho ni GPU ya 150w.
Sema Bei zake nazo zimechangamka kama $80 kwa psu tu.
Kuna jamaa wanajiita best price wameilist jiji, fb etcOky boss nipe link umeona wapi hiyo cpu...
Ingekuwa tower ningeichukua sema ni sff.Kuna jamaa wanajiita best price wameilist jiji, fb etc
Desktop Computer HP EliteDesk 705 G3 8GB AMD Ryzen 7 HDD 500GB
Hp elitedesk 705 g4 pc amd ryzen 3 pro 2000g processor 3.6ghz max. turbo 3.9ghz 4 nucleos ram 8gb ddr4 storage hdd 500gb video amd radeon vega 11 slot pci express 16x v3 06 usb 2.0 04 usb 3.1 gen...jiji.co.tz
Ni MT baina ya tower na SFF. Sema kiumbo ni ndogo.Ingekuwa tower ningeichukua sema ni sff.
Ryzen 5 3400G sio?Ninayo advance yake ni 705 g5 ni ndogo...
Umehack PS4 Yako?Habari wadau
Hivi hawa wanaofanya digital installation game za Ps4 uwa wanazipata wapi. Nataka kuinstall FC24 mwenyewe.
Umehack PS4 Yako?
Hapa unatumia account za kuchakachua, unanunua account, unaweka kwenye ps4 yako unadownload hizo game halafu unatoa account, sema sio 100% accuracy sometime inakubali sometime inakataa. Kuna magroup ya telegram yanauza.Hapana, version yake ni ya juu