PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Naanza pia kuona mashine za Ryzen 2400G (desktop) kwa 250,000 kushuka, kama unahitaji machine ya kuzugia itakayocheza games nyingi 1080P low setting ama 720P bila kuspend Hela nyingi hapa ndio pa kukaa.
 
Wakuu habari zenu. Samahanin natoka nje ya mada kidogo... Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga, so anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi anaeweza kunisaidia naomba anisaidie mana hapa nimekwama nimeshauliza mafundi mbalimbali ninaowajua wameniambia hiyo ni kesi ngumu
 
Zinabadilishika psu?
 
Chief-Mkwawa
 
Zinabadilishika psu?
Mkuu nimecheki vizuri, unaweza badil psu sema psu zao Tu. Kuna 400W psu yenye 6 pin GPU connector inakubali hio machine, ina maana gou za kawaida kama 1060, 1660 etc zitakubali, 6 pin mwisho ni GPU ya 150w.

Sema Bei zake nazo zimechangamka kama $80 kwa psu tu.
 
Oky boss nipe link umeona wapi hiyo cpu...
 
Habari wadau

Hivi hawa wanaofanya digital installation game za Ps4 uwa wanazipata wapi. Nataka kuinstall FC24 mwenyewe.
 
Hapana, version yake ni ya juu
Hapa unatumia account za kuchakachua, unanunua account, unaweka kwenye ps4 yako unadownload hizo game halafu unatoa account, sema sio 100% accuracy sometime inakubali sometime inakataa. Kuna magroup ya telegram yanauza.

Huyu jamaa aliwahi niuzia

Back
Top Bottom