Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
Ukikosa pad ya x box ni heri uchukue pad ya ps 3(dualshock 3) nazo hazihitaji configuration just plug and use hata price yake ni cheap almost 13k compared to pad za x box around 30k to 130kPc mkuu Xbox pad kwenye pc hazihitaji configuration, ukichomeka tu zinapiga kazi, na mfumo wake X-input ndio standard ya game za pc so inakubali games nyingi sana.
Ps3 mpaka drivers mkuu, scp toolkit ndio maarufuUkikosa pad ya x box ni heri uchukue pad ya ps 3(dualshock 3) nazo hazihitaji configuration just plug and use hata price yake ni cheap almost 13k compared to pad za x box around 30k to 130k
Atumie usb wire inakubali fresh bila hizo driverPs3 mpaka drivers mkuu, scp toolkit ndio maarufu
Hata kwa waya boss ni hadi drivers.Atumie usb wire inakubali fresh bila hizo driver
Hapana bossie mm natumia flesh tu nacheza magemu yote ya kweny pc bila kufanya mapping ya pad wala kuinstall driver just nichomeka ule waya nakula maishaHata kwa waya boss ni hadi drivers.
Chief, habari? Hivi nikinunua PS4 console, kama sihitaji kulifanyia jailbreak nawezaje kupata magemu kwa njia nyepesi? Kuna magumashi yoyote naweza fanya zaidi ya jailbreaking?Hata kwa waya boss ni hadi drivers.
Ipo sema bei yake ndefu kidogo, zipo na account za magumashi pia za ps4.Chief, habari? Hivi nikinunua PS4 console, kama sihitaji kulifanyia jailbreak nawezaje kupata magemu kwa njia nyepesi? Kuna magumashi yoyote naweza fanya zaidi ya jailbreaking?
Nimewahi kuona sehemu, sikumbuki uzi gani, lakini uliandika isssue ya watu kuuza gamepass kwenye maxbox, hii kitu kwenye PS haipo?
Zipo hata Mimi nilishawahi kuwa nayoHivi kuna watu hii Bongo wanamiliki Xbox?
Sijawahi kuiona hii makitu.
Nina PS4 ninauzaChief, habari? Hivi nikinunua PS4 console, kama sihitaji kulifanyia jailbreak nawezaje kupata magemu kwa njia nyepesi? Kuna magumashi yoyote naweza fanya zaidi ya jailbreaking?
Nimewahi kuona sehemu, sikumbuki uzi gani, lakini uliandika isssue ya watu kuuza gamepass kwenye maxbox, hii kitu kwenye PS haipo?
Nielekeze vizuri mkuu, sijaelewa. Mimi nataka nikidowload gemu libaki kwenye PS yangu.Ipo sema bei yake ndefu kidogo, zipo na account za magumashi pia za ps4.
Kuna Playstation plus essential mpaka Playstation plus Deluxe, hio deluxe ndio ina games nyingi, na games unacheza tu huzimiliki, sometime games wanazitoa na kuweka games nyengine mpya kila mwezi.
Aina gani mkuu na shilingi ngapi? Hata nisiponunua hii yako naweza kuwa dalali.Nina PS4 ninauza
Mkuu hapo kuna mambo mawiliNielekeze vizuri mkuu, sijaelewa. Mimi nataka nikidowload gemu libaki kwenye PS yangu.
Kwa hii njia ya kuuziwa akaunti kwa muda inawezekana? Kama inawezekana gharama yake ikoje kununua akaunti?
Pia, unaweza kunipa link za hao watu wanaofanya hii biashara?
Ni PS4, nataka kununua.Mkuu hapo kuna mambo mawili
1. Kuna watu wanauza account za watu, niseme tu wazi hizi ni account za wizi kuna mtu kahackiwa huko wanakuuzia account unaweka kwako unadownload games zake siku akisanuka anabadili password ukiingia tu online game nazo zinaondoka.
2. Kuna account official za Sony ambazo ni hio hio account yako unailipia Playstation plus essential ama Deluxe unakuwa kila mwezi unapewa games za bure, ila huzimiliki, mfano unakuta Fifa ni bure kwa miezi labda 6 unacheza then baadae wanalitoa wanakuekea game jengine etc.
Hii list ya Games ambazo zipo kwenye deluxe sasa
PlayStation Plus Deluxe Games
Full list of PlayStation Plus Deluxe games. Find all the guides and trophy lists for PlayStation Plus Deluxe games here.www.truetrophies.com
Kuna plan tatu kuanzia $10 kwa mwezi mpaka $18.
Sasa watu wana tafuta seller anayeuza hizi Subscription kwa bei za chini unakuta labda nusu ya hapo, ila still ni ghali kwa mtu wa kawaida.
3. Njia ya tatu ni kutafuta games za bei rahisi online kwenye sales mbalimbali
Mwisho wa siku mkuu Xbox ina uafadhali sana compare na Playstation, Xbox plan zake hazina tier na unapata Instant game kama 400 za maana, na kuna Nchi account zake ni bei rahisi na kuna seller wengi wanauza online.
We unayo ps4/ps5 tayari games gani unacheza?
Fat mkuu tsh450Aina gani mkuu na shilingi ngapi? Hata nisiponunua hii yako naweza kuwa dalali.
Unafaidi mkuu, kitu HD kabisa.