PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Haikai gpu mkuu hizo madhine ni sff.

Yaani labda uweke gpu za gt ama Radeon ambazo kiuwezo unakuta zinazidiwa na hiyo gpu ya vega inayokuja na cpu.
Kuna low profile gpu nyingi mno mkuu.

Kali kabisa ni Rtx A2000 sema bei zake zimesimama hii ina nguvu kushinda rtx 3050 perfomance yake ni almost rtx 3060 ina nguvu kama mara 5 hadi 7 ya hio Vega.

Then kuna rtx 3050 6GB ambayo ni low profile, gtx 1650, Rx 6400, gtx 1500 LP, Quadro P1000, Quadro P620 etc.

Hizi quadro ndogo inakubali mpaka pc ndogo zile tiny ambazo ni ndogo kuliko sff.

images-10.jpeg
 
, Rx 6400
Hii ina rating mbaya mno. Ni latest imetoka hata miaka minne haina nafikiri ni equivalent ya gtx 1630.

Hizi zote umeweka mkuu uko sahihi ila changamoto kwenye masoko ya online tulikozoea ya reja reja china.

Sizioni, Hata zilizopo bei mkasi unakuta bora uchukue gpu kubwa tu ya kueleweka.
 
i5 10210U
Ram 12GB
Gpu mx130
Mkuu hizi specs zinapiga Fifa 19 bila issue, minimum requirement za Fifa 19 ni i3 2100 ram 8GB na R7 260 gpu. Specs za kawaida sana hizi machine yako ipo zaidi ya qualified.

Nahisi utakuwa unarun windows kwenye battery saver, hakikisha wakati una run game umechomeka adapter, Eka windows kwenye perfomance mode then run.

Pia kuanzia eka settings zote low
 
Hii ina rating mbaya mno. Ni latest imetoka hata miaka minne haina nafikiri ni equivalent ya gtx 1630.

Hizi zote umeweka mkuu uko sahihi ila changamoto kwenye masoko ya online tulikozoea ya reja reja china.

Sizioni, Hata zilizopo bei mkasi unakuta bora uchukue gpu kubwa tu ya kueleweka.
Rx 6400 ina rating mbaya kwa watu wasioelewa imetengenezwa kwa ajili ya nani vitu ambavyo haina (mfano video codecs) tayari Oem machine inavyo. Kama una build pc mpya rx 6400 sio nzuri ila kMa una Oem machine za kina HP na dell basi ni gpu nzuri sana sababu Oem machine hawatumii cpu isio na video codecs

Pia inategemea unanunua soko gani, masoko ya ndani China rx 6400 ni kama 200,000-300,000 zinacheza hapo.

Ebay pia unazipata kwa hio bei.
 
Mkuu hizi specs zinapiga Fifa 19 bila issue, minimum requirement za Fifa 19 ni i3 2100 ram 8GB na R7 260 gpu. Specs za kawaida sana hizi machine yako ipo zaidi ya qualified.

Nahisi utakuwa unarun windows kwenye battery server, hakikisha wakati una run game umechomeka adapter, Eka windows kwenye perfomance mode then run.

Pia kuanzia eka settings zote low
Mkuu vyote nimeweka hivyo, option ya high perfomance, pia uwa nacheza ikiwa inacharge…nikiweka low settings ndo inakubali nayo bado haipo smooth kivile
 
Rx 6400 ina rating mbaya kwa watu wasioelewa imetengenezwa kwa ajili ya nani vitu ambavyo haina (mfano video codecs) tayari Oem machine inavyo. Kama una build pc mpya rx 6400 sio nzuri ila kMa una Oem machine za kina HP na dell basi ni gpu nzuri sana sababu Oem machine hawatumii cpu isio na video codecs

Pia inategemea unanunua soko gani, masoko ya ndani China rx 6400 ni kama 200,000-300,000 zinacheza hapo.

Ebay pia unazipata kwa hio bei.
Balaa

1000027139.jpg

Baadae nataka kwenda rtx ..

Ila hivi rtx 2060 (bei 400,000 - 500,000)
Na rtx 3050 (bei ni zaidi ya 700,00)

Ina nguvu zaidi?

Pia kuna gtx 1080. Nayo bei yake ni hiyo laki 7 - 8
 
Mkuu vyote nimeweka hivyo, option ya high perfomance, pia uwa nacheza ikiwa inacharge…nikiweka low settings ndo inakubali nayo bado haipo smooth kivile
Ikiwa Ina lag jaribu kufungua task manager uone kitu gani exactly kinasababisha hivyo.

Pia fps uliweka 30 ama 60?
 
Balaa

View attachment 3088810

Baadae nataka kwenda rtx ..

Ila hivi rtx 2060 (bei 400,000 - 500,000)
Na rtx 3050 (bei ni zaidi ya 700,00)

Ina nguvu zaidi?

Pia kuna gtx 1080. Nayo bei yake ni hiyo laki 7 - 8
Gtx 1080 nzuri ila utahitaji pia psu za maana na imepitwa na wakati kidogo feature wise ila kwenye perfomance bado ni gpu ya maana

hapo naona rtx 2060 ndio ina value zaidi, inakubali dlss ku upscale games, perfomance imepitwa kidogo na 1080 na inakubali ray tracing.
 
Mkuu anza na resolution hio 720P kwa low quality kama ipo smooth tumia hio hio low kwa 1080p.
 
Ikiwa Ina lag jaribu kufungua task manager uone kitu gani exactly kinasababisha hivyo.

Pia fps uliweka 30 ama 60?
Nikiweka 30 ubora wa game unapungua kabisa…

Nina bajeti ya 800k njia gani nzuri ya kuunda PC itakayocheza FC24 smooth?
 
Nikiweka 30 ubora wa game unapungua kabisa…

Nina bajeti ya 800k njia gani nzuri ya kuunda PC itakayocheza FC24 smooth?
Hiyo hela inaweza kutosha but kama utachukua baadhi ya parts kutoka kwenye hiyo pc unayotumia kwa sasa, kama ram, hdd, cpu etc.

Yangu cost ilifika million 1.1

Uwezo wake

Ram 16

Processor ryze 5 3400g

Gpu rx580 8gb

Ssd 256gb

Hdd total tb 1.32
 
Back
Top Bottom