Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu Mesa mkuu uone, sababu driver ya sasa ya RX na ya Vega 11 ni hio hio.Hii rx naona bado inapokea latest driver. Bt nitajaribu ingawa hiyo error tangu natumia vega 11 ilikuwepo.
Guys, naomba nielekezwe jinsi ya kukaba kwenye fifa 23 au 24 kama ukiwa unacheza ps4, naona kama wachezaji hawakabi kabisa, nasindikiza mtu hadi golini labda kupata mpira yy mwenyewe nnae cheza nae akosee kutoa pasi lakini siwezi kupata mpira kwa kukaba, nipo vizuri kwenye kupiga pasi na kufunga ila kukaba bado sijui kwakweli...[emoji22]
Hizi kidogo ziko tofauti kuna legacy hii wengi ndio tumeizoea kuna tactical na advance jamaa hapo kidogo kazielezea..Guys, naomba nielekezwe jinsi ya kukaba kwenye fifa 23 au 24 kama ukiwa unacheza ps4, naona kama wachezaji hawakabi kabisa, nasindikiza mtu hadi golini labda kupata mpira yy mwenyewe nnae cheza nae akosee kutoa pasi lakini siwezi kupata mpira kwa kukaba, nipo vizuri kwenye kupiga pasi na kufunga ila kukaba bado sijui kwakweli...😢
Magame ya sasa yanataka ssd, tena zile nvme ssd sio sata, ambazo zina speed GBps kadhaa.Ilikaa sawa mkuu, niliondoa driver then nikainistall tena.
Hata last of us nilidownload lingine likakubali. But liko slow mno kuloàd.
Duuh yaaani hadi balaa kuna muda katikati ya game linaload kama hiviMagame ya sasa yanataka ssd, tena zile nvme ssd sio sata, ambazo zina speed GBps kadhaa.
Hizi Ps5 na Xbox mpya toka ziwekwe Nvme ssd ndio Zimesababisha haya majanga, developers hawana time ya ku optimize wana port tu games za console kwenda pc, inabidi sisi tujiongeze kumatch specs za Console.
Unatakiwa ujue exactly model ya hio i7 na nvidia, kama ni generation za zamani haina issue.Wakuu Troublemaker na Chief-Mkwawa kuna Pc inauzwa nimeona tangazo ...he ipo sawa hii?? Gaming Laptop Nvidia Core i7
Ram 12GB
Storage 500GB
Nvidia (vram) 2GB
Iko na games kibao
Bei kitonga 320k
Mteja serious nchk (Ubungo Riverside)
Shukrani sana mkuu...ngoja niulize... Nahisi itakuwa model ya zamani maana Bei ipo chini sana....Unatakiwa ujue exactly model ya hio i7 na nvidia, kama ni generation za zamani haina issue.
Duuh sema now vram ya 2gb sijui game now requirements ni heavy kweli. Bt kwa bei hiyo imekaa poa.Wakuu Troublemaker na Chief-Mkwawa kuna Pc inauzwa nimeona tangazo ...he ipo sawa hii?? Gaming Laptop Nvidia Core i7
Ram 12GB
Storage 500GB
Nvidia (vram) 2GB
Iko na games kibao
Bei kitonga 320k
Mteja serious nchk (Ubungo Riverside)
Asante sana mkuu....nilitaka beba niwe nacheza football games bas (FIFA na PES) ila nimeshndwa sababu ha umbali toka kwa muuzajiDuuh sema now vram ya 2gb sijui game now requirements ni heavy kweli. Bt kwa bei hiyo imekaa poa.
Mkuu kama una Account yenye gamez hasaya mpira naomba Tuwasiliane unisaidie jambo (Mimi nina PS5 lakini nna account yenye game zisizo za mpiraUpo sahihi mkuu,most of the time nakabia njia na ku switch players,mambo yakiwa mengi sana sliding tackles zinahusika[emoji3]
Daah. Sema kwenye console upande wa kupata games ndio naonaga ni kisanga hasa ps5....Mkuu kama una Account yenye gamez hasaya mpira naomba Tuwasiliane unisaidie jambo (Mimi nina PS5 lakini nna account yenye game zisizo za mpira
ulifanikiwa kupata patch mkuuWadau nina Fifa 14 nani mwenye link patch yake
Sidhani mkuu, fc25 ndio litakua na vikosi vipya, labda modders tu ambao hawahusiani na EA ndio watoe patch ya ku update vikosiChief-Mkwawa
Hivi EA huwa hawataupdate tena fc24..
Maana bado vikosi viko vilevile mbappe yuko psg n.k.
Pia team zilizopanda na kushuka daraja bado ziko vile vile. Hazijabadilika
Ndio biashara yao ilivyo mkuu, waki update hutanunua game jipya. Siku zote update za msimu mpya zinatoka kwa 3rd party developers na sio wenyewe.Duuuh so niingie mfukoni tena?
Au nisubiri dirisha la usajili lifungwe labda wataupdate.