PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Screen shot tuone
IMG_20240523_153807_632~2.jpg
 
Nimefanya hivyo still hamna kitu.
Kama una muda mkuu ingia hio forum ya warusi, huko unakutana na cracker mwenyewe ama watu wanaofahamiana nao, kasome kwa kule.

Ikishindikana kabisa map controller kwenye keyboard japo ni mambo mengine marefu.
 
Nikitumia steam inagoma. Bt nikifungua bila steam inqfanya kazi bt ufanisi wa controller unakuwa sio mzuri.
 
Chief-Mkwawa

Hili ni game last kf us lipo muda ila ila halijawahi funguka linaleta hiyo error nimejaribu solution nyingi YouTube ila wapi
IMG_20240528_104121_749.jpg
 
Back
Top Bottom