PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Hizo gtx na rx ni nini?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Gpu model.
51uQKREz3vL._AC_SY400_.jpg
 
mwenye pes17 yenye patch ya 2019 aliyepo arusha naomba anisaidie nihamishie kwenye pc yangu, nitamlipa
 
Naona fifa20 na pes2020 rasmi zimeshashindikana kucrakiwa.
Ngoja tuone fifa21 na pes2021 itakuwaje.
 
nimecheza sana PES20 kuliko FIFA ila FIFA ni habari nyingine ile motion ya wachezaji inakulazimisha kujifunza mbinu mbalimbali kuendana na game husika....FIFA ipo juu
SAWA NNA DOWNLOAD FIFA MAANA NIMEONA GAMEPLAY NIMEIPENDA SANA 2021 SI AICHEZI NA MB
 
Back
Top Bottom