PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

SAWA NNA DOWNLOAD FIFA MAANA NIMEONA GAMEPLAY NIMEIPENDA SANA 2021 SI AICHEZI NA MB
Yes ni offline tu pia ingekuwa vixuri ungedownload cracked files za FIFA maana kudownload mzigo mzima ni kazi bora uende nao kwa files mojamoja......ila kama umeanza sio mbaya.
 
nilipo speed iko vizuri halotel night bundle inamaliza usiku mmojaa acha niamie fifaaa nimependa sana mtangazaji mpka graphiiccs hii game yaonekana noma sana nimejikuta naichukia pes ghaflaaa [emoji35][emoji35]
nasikia kwenye fifa adi mtu anashikaa
 
Pia
Pia check kama requirement za pc yako zinaruhusu kucheza hiyo game maana FIFA inakuwaga na requirement kubwa kuliko PES
mambo vipi mkuu samahani ningependa unifahamishe kwa mujibu wa specification za desktop yangu vipi ninauwezo wakucheza magemu kama vile battlefield au magemu mengine ya kivita RAM 4
 
Attachments

  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    63.9 KB · Views: 9
Habari wapenda gemu wenzangu, Naombeni kwa aliye teali nahitaji magemu kadhaa nami nianze kuinjoy kama ilivyo kwenu kwa msaada lakini asinichaji hela nipo DSM.
 
Habari wapenda gemu wenzangu, Naombeni kwa aliye teali nahitaji magemu kadhaa nami nianze kuinjoy kama ilivyo kwenu kwa msaada lakini asinichaji hela nipo DSM.
njoo chukua gta v niko chamazi dsm nima games kadhaa wwe nina pes nina watchdog 2 bure na ka eextenal chako tu njoo chukusa
 
naomba uwape msaada wa requirement za kucheza FIFA21 mkuu
 
naomba uwape msaada wa requirement za kucheza FIFA21 mkuu
Naona jamaa kashaweka pia mwanzo wa uzi.
Kuanzia fifa17 - 2020 hazitofautiana sana. Anayewwza run fifa 17 anaweza run fifa zote. Vilevile na pes zote
 
nilipo speed iko vizuri halotel night bundle inamaliza usiku mmojaa acha niamie fifaaa nimependa sana mtangazaji mpka graphiiccs hii game yaonekana noma sana nimejikuta naichukia pes ghaflaaa [emoji35][emoji35]
nasikia kwenye fifa adi mtu anashikaa
Hawa jamaa mpaka kusukumana kupo, kushika n.k

Mchezaji kupiga danadana, kanzu n.k ni vitu vya kawaida.

Nawapenda pia Martin Tyler na Alan Smith ktk utangazaji, Fifa ni Game tamu sana, sana katika Master League.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watangazaji hamna kitu mkuu.
Wangepata leseni ya Peter Dury na Jim beglin ndio wako vizuri. Hata Joe Champion si mbaya.
 
Back
Top Bottom