PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wakuu nlikua na install pes 2020 akat nataka li play nikaandikiwa d3dx9_43dill is missing

Ni mgeni sana wa magame ko msaada wa kina nifanyaje
 
Jamani bingwa wa tabata kinyerez FIFA nipo hapa kama unajiweza tupimane fanya kunikoti...sema isiwe FIFA za wanachuo hzi(za PC)
 
Wakuu nlikua na install pes 2020 akat nataka li play nikaandikiwa d3dx9_43dill is missing

Ni mgeni sana wa magame ko msaada wa kina nifanyaje
Hapo kuna mawili moja ni unamiss direct X au Graphic card yako si nzuri kucheza hilo game.
Embu tuma kwanza uwezo wa pc yako hapa.
Kwanza hakikisha uliinistall direct x pia.
 
Wakuu msaada link ya patch ya pess 2019/2020 au zaid kwaajili ya playstation 3 kwa aliye tayari anisaidie
 
Back
Top Bottom