PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Ina hela ya kutosha? Maana dola siku hizi imepanda sana.

Kuna option ya PayPal ila sijajua kama Tanzania ipo.
Nimefanikiwa.. nasubiri kesho nipeleke pc kwa jamaa ana mabundle yale ya unlimited ya kulipia kila mwezi..
IMG-20240323-WA0000.jpg
 
Maisha magumu sana bila vile vifurushi vya usiku, vilikua vina save wengi. Kama unlimited ya jamaa ni 10-20mbps ita take time pia.
Yaani kulikuwaga na lile la halotel gb 10 kwa buku. Ningetumia week moja tu.

La jamaa liko chap kimtindo maan movie ya gb 2 natumiaga dkk 15-20 tu.
 
Maisha magumu sana bila vile vifurushi vya usiku, vilikua vina save wengi. Kama unlimited ya jamaa ni 10-20mbps ita take time pia.
Mkuu habari nilifanikiwa kudownload na kumaliza jana.

Sasa changamoto nyingine bana. Haifunguki yaani haileti error yeyote.

Ina pop up EA app mara splash screen lkn nothing happen.

Yaani game haliplay kabisa. Nimejaribu kutafuta suluhu zote mtandaoni wapi hamna kitu. Na wengi wameface tatizo kama langu.

Mbaya zàidi kinachoniuma nimenunua 41000. Daaah....
 
Wakati unafungua ulikua na internet? Pia umeshatengeneza account ya Ea na kudownload ile client yao na ku login?

Jaribu na hii solution
  • Open the EA App.
  • Head to the EA FC 24 game page.
  • Select “Manage” and then choose “View Properties”.
  • Select “Browse”.
  • This will take you to the game directory.
  • Right-click one of the “EAAntiCheat.GameServiceLauncher” files and select “Properties”.
  • Head to the “Digital Signatures” tab.
  • Double-click the only item in the middle.
  • In the new window, click “View Certificates” and then “Install Certificate”.
  • Click “Next” twice and then “Finish”.

Pia nimeona mahala driver za graphics zinaweza kuwa issue, umehakiki una latest drivers?
 
Yote ñimefanya labda nirudie tena.😅 Huenda nilikosea step

Driver ziko uptodate. Lbda ngoja nikiswap mashine nione. Maana motherboard ishafika iko clearance office.
 
Bt hata nikiingia steam community wengi wamekutwa na hiyo shida hadi wanaomba refund na mbaya zaidi sioni solution.
 
Wakati unafungua ulikua na internet? Pia umeshatengeneza account ya Ea na kudownload ile client yao na ku login?

Jaribu na hii solution
  • Open the EA App.
  • Head to the EA FC 24 game page.
  • Select “Manage” and then choose “View Properties”.
  • Select “Browse”.
  • This will take you to the game directory.
  • Right-click one of the “EAAntiCheat.GameServiceLauncher” files and select “Properties”.
  • Head to the “Digital Signatures” tab.
  • Double-click the only item in the middle.
  • In the new window, click “View Certificates” and then “Install Certificate”.
  • Click “Next” twice and then “Finish”.

Pia nimeona mahala driver za graphics zinaweza kuwa issue, umehakiki una latest drivers?
Limekubali mkuu wametoa update jioni hii ya gb 4.9 nilivyoidownload likekaa sawa.
 
Mkuu hapa unapiga na ryzen 3400G bila gpu sio? Speed ipo fresh?
Sema ukabaji nao umekuwa mgumu. Online kuna advance defending na tactical tu.
Advance kidogo naona ina nafuu. But bado mgumu maana unakaba kwa kuvizia.

Kuna wajinga online wanajua ukiingia vibaya kula 5/6 ni kawaida.
Japo nasogea sogea s niko division 8
 
Mwenye pes 2019 for pc nahitaji

Nipo dar Mombasa ukonga

Serious kama Upo maeneo Hayo

0627796644
 
Back
Top Bottom