Pesa bana ukiwa nazo your the King

Pesa bana ukiwa nazo your the King

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,415
Billionea Laizer kaingia sabasaba akapokewa na KATIBU WA WIZARA.

Kilichonishanga ni kwamba Watumishi wa wizara kuvaa mashuka ya kimasai.
Unadhani wamevaa kwasababu yake NOOO KUBWA SANAA.
Wamevaa kwasababu mshua ana Bill 7.8 mfukoni..!!

Kila anakopita ni Laizaa laizaaa.

Hela bana, ukiwa Nazo
1. Watakuelewa tu
2. Hata kwa kujilazimisha watakupenda tu
3. Watakuheshimu tu
4. Ukiingia kokote watatambua tu uwepo wako.
Sio kwasababu wewe mzuri au sijui nini.. Ni kwamba UNA HELA TENA NYINGI.

Vijana tuendelee kutafuta hela.
Tena tupigane sanaa kuzipata.
Bila hivyo hii dunia kuifaidi bila pesa KAZI IPO.

Ukiwa huna hela watoto wazuri woteee utawaita shemeji..!!

NB:-
Eti First figure kawaalika raia kwenye nyumba nyeupe.
HIVI HII SIO RUSHWA KWELI?

#YNWA

FB_IMG_1594551420153.jpg
 
Mbadala unaweza kuwa kama piere liquid ai 900 itapendeza ila anguko huwa ni kubwa mno unatamani ujizike
 
Tafuta kwanza ufalme wa mbinguni. Mengine yatakuja yenyewe...
Bro ukiwa na hela hata injili itapanda.
Huoni mitume na manabii wa huko nje na nchini.
Zile private jets na magari ya kifahali zile ni PESA.
Refer:- hivi wanaokaa mbele kanisani kwa Rwakatale wanahali gani kiuchumi (tazama mavazi yao)?

#YNWA
 
bilioni 7.8 si mchezo

hako kademu keupe pembeni ya Laizer kwa hali ya kawaida kasingeweza kumsogelea karibu..

angelalamika "huyu mzee mmasai ananuka uvundo kama beberu na shuka lake.."

na kwa kipindi hiki cha korona angeshaambiwa kavae "barakoa na unawe mikono kwa sanitizer"
 
bilioni 7.8 si mchezo

hako kademu keupe pembeni ya Laizer kwa hali ya kawaida kasingeweza kumsogelea karibu..

angelalamika "huyu mzee mmasai ananuka uvundo kama beberu na shuka lake.."

na kwa kipindi hiki cha korona angeshaambiwa kavae "barakoa na unawe mikono kwa sanitizer"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah
 
Haha, Safi sana musee.

karibu sardalaam.
 
Back
Top Bottom