Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Billionea Laizer kaingia sabasaba akapokewa na KATIBU WA WIZARA.
Kilichonishanga ni kwamba Watumishi wa wizara kuvaa mashuka ya kimasai.
Unadhani wamevaa kwasababu yake NOOO KUBWA SANAA.
Wamevaa kwasababu mshua ana Bill 7.8 mfukoni..!!
Kila anakopita ni Laizaa laizaaa.
Hela bana, ukiwa Nazo
1. Watakuelewa tu
2. Hata kwa kujilazimisha watakupenda tu
3. Watakuheshimu tu
4. Ukiingia kokote watatambua tu uwepo wako.
Sio kwasababu wewe mzuri au sijui nini.. Ni kwamba UNA HELA TENA NYINGI.
Vijana tuendelee kutafuta hela.
Tena tupigane sanaa kuzipata.
Bila hivyo hii dunia kuifaidi bila pesa KAZI IPO.
Ukiwa huna hela watoto wazuri woteee utawaita shemeji..!!
NB:-
Eti First figure kawaalika raia kwenye nyumba nyeupe.
HIVI HII SIO RUSHWA KWELI?
#YNWA