Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Natamani nifike huko migodini mimi siogopi kufirisikaHuwi peke Yako anakuwepo mpambe wa boss yani foremen, alafu DHAHABU ikionesha mkanda tu wanajua mali ipo karibu umakini kama wote, pia kule kwenye kuosha napo ndo mambo yote
Mwaka ganiNi kweli tangu miaka hiyo nimesoma pale green view kiseke miaka hiyooo pambe sanaa
Mimi natamani kuishi katoro jamaniKinacho nishangaza katoro biashara zipo hot kuliko geita mjini, mtihani huu
Kahama wanashindana kumwaga pesa si mchezo!Kuna harusi ilifanyika kahama mwaka huu,wale wasukuma walimwaga pesaaa,
Wao walimuita konde akawaimbie.
Ngoja nikutafutie special hata ukaanze kudeki ofisi tu, hapa lazima twende nao sambamba😎Zile kazi unapost
Naomba upost za Katoro
Nataka niende Katoro 🙌
Jamani cha ajabu kuna watu wanaishi huko na ni masikini wa kutupa😂Mimi natamani kuishi katoro jamani
Hii Tanzania wenye hela wapo katoro
Yaani watu wana hela za kufuru🙌
Nenda mkuu, ila usimwage pesa nenda kama mzururaji kwanza ukifika kaa hata miezi kadha inakuwa unaenda na kutoka utapata watu watakupa mchomo japo mali haeleweki Kuna kipindi ina hila hapo moto mna hamaa sait kwenda kule kwenye mali, ila kama upo sawa umatafuta eneo lako constant ukisha pima unaanza piga mzigo, kama ka mgodi kako, japo watu waliacha kuchimba wakaanza kupiga marudio hapo watu walitajirika sanaNatamani nifike huko migodini mimi siogopi kufirisika
2010, 2011, 2012, nikahamaMwaka gani
Mwaka huu😁😁,lazima mjiripue huko katoro kujaribu bahati😁Natamani nifike huko migodini mimi siogopi kufirisika
Katoro kamji kadogo ila pesa kama yoteMimi natamani kuishi katoro jamani
Hii Tanzania wenye hela wapo katoro
Yaani watu wana hela za kufuru🙌
Mafanikio yanahitaji ujasiriMwaka huu😁😁,lazima mjiripue huko katoro kujaribu bahati😁
Kuna watakaoacha ndala🙌
Jamaa kajibrand sana akituliza akili utajiri mkubwa Zaid inamhusu ye atulize kichwa tu Kesha enda mjiniView attachment 3628732
Instagram Yote ni Gsm Wa katoro tu, nasoma comments nacheka😂
Ooh hapo sawa! Green view si primary hiyo?2010, 2011, 2012, nikahama
Media zote,zimechafukwa na katoro😁😁,View attachment 3628732
Instagram Yote ni Gsm Wa katoro tu, nasoma comments nacheka😂
Hela aliyonato si rahisi kuyumba labda atake tu kuhangaika mwneyewe!Jamaa kajibrand sana akituliza akili utajiri mkubwa Zaid inamhusu ye atulize kichwa tu Kesha enda mjini
Na Siri📌.Mafanikio yanahitaji ujasiri
Ulikuwa unawapima upepo sio😂Media zote,zimechafukwa na katoro😁😁,
Kuna video Moja ya bi harusi mtarajiwa,nilicomment makusudi kuwa,(Haina maajabu)weeeeeeh nimepopolewa😁😁, nikajisemea simjibu mtu.