Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Ile nyekundu🤭
Mmhh seran we ni WA Kanda ya ziwa? Mbona unaufahamu mambo hivo? Nakumbuka kama sikosei Kanda ya ziwa Hummer zilikua mbili, Moja ilikua mwanza Kwa yule mshikaji muuza mabomba, na tools za maji Kwa ujumla anaitwa nani sijui, alikua pale town kabisa, Moja ilikua geita ilikua inamilikiwa na yule mwenye mgodi nyarugusu miaka hiyo japo nasikia awamu ya tano ilipotea nae kisa alimzinguaga magu miaka hiyoo
 
Zongii yopa😂
 
Katoro na Kahama kuna upako wa hela
Watu matajiri jamani🙌
Twende shorii mimi ndio najiandaa hapa🌚
5B151CE8-CC89-4CB4-AA24-785546215BB5.jpeg
 
Hivi huyo jamaa Huwa ni urithi au man made
Sio urithi kijana kaanza kutafuta pesa miaka mingi sana kwa kuuza tu bolt na nuts miaka hiyo, watu wanakomaa mzee, kapambana na hiyo hardware hapo sahara, ndio sikuhizi anq hiyo ghrorfa yote yake, watu wamekuja kumjua alipoanza kununua hayo magari! Hafu ni jamaa mdogo mdogo tu!
 
Back
Top Bottom