Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kiwanda cha kuzalisha nini?Kaka wewe shida Yako unachanganya kati ya wachimbaji na matycon, hao ma tycoon wanawekeza sio kitoto, mfano waja, ana viwanda, shule nk unasemaje hawawekezi?
Kiwanda cha kuzalisha nini?Kaka wewe shida Yako unachanganya kati ya wachimbaji na matycon, hao ma tycoon wanawekeza sio kitoto, mfano waja, ana viwanda, shule nk unasemaje hawawekezi?
Si kweli matajiri wa DHAHABU nao wajua Mimi wamewekeza mfano waja, miliki wa waja schoolsNje ya pale hawana cha maana, ata kiwanda kidogo cha kuyeyusha nondo hawana.
Huko sio Kwa kukaa kizembe eehKuna ostadhi Mmoja, alipewa dili la kumuua jamaa Mmoja alikua ame hila DHAHABU, sasa huyo ostadhi ni mcha MUNGU akaenda polisi kutoa taarifa kua Kuna mtu anataka kuuliwa ili watu wapige mzigo, yule kamishina wa kile kituo akashangaa ostadhi akamwambia utakufa masikini wewe, Hilo ni dili tamu UKIPATA jingine nistue, unaambiwa ostadhi hakuamini majicho
Tunajaribu kufungua bongo za watu, wanaoamini kufanya matumizi ya anasa ndio kithibitisho cha ukwasiNa sio lazima kulazimisha ulichofikiri wewe kuona kwako ni mbwembwe
Nilifikiri ni uchimbaji wa mafuta na gesiSi kweli matajiri wa DHAHABU nao wajua Mimi wamewekeza mfano waja, miliki wa waja schools
Hirizi zimetapakaa, mwilini, balaa na ukizubaa unaondolewa, kisa kingine hiki hapa, Kuna dogo ni ndugu yangu Kwa mjomba wangu yani upande wa mama, huyu dogo alienda machimboni akawa ana piga kazi kwenye shimo Fulani, baadae akirudi kusalimu nyumbani kabla hajarudi hufanya mambo Fulani kujiweka sawa, ebhanaa EEH akatonywa na baba yake naye ni mastar kuwa usirudi hukoo, tulia.Huko sio Kwa kukaa kizembe eeh
Mambo ya giza ni mengiHirizi zimetapakaa, mwilini, balaa na ukizubaa unaondolewa, kisa kingine hiki hapa, Kuna dogo ni ndugu yangu Kwa mjomba wangu yani upande wa mama, huyu dogo alienda machimboni akawa ana piga kazi kwenye shimo Fulani, baadae akirudi kusalimu nyumbani kabla hajarudi hufanya mambo Fulani kujiweka sawa, ebhanaa EEH akatonywa na baba yake naye ni mastar kuwa usirudi hukoo, tulia.
Baadae ndo akaambiwa yule mwenye duara alikua amepanga kuwa zika shimoni ili kutoa kafara yani taarifa inarolewa duara limeanguka kumbe mwenye duara katoa zindiko japo si wote
Aisee,noma sana.Hirizi zimetapakaa, mwilini, balaa na ukizubaa unaondolewa, kisa kingine hiki hapa, Kuna dogo ni ndugu yangu Kwa mjomba wangu yani upande wa mama, huyu dogo alienda machimboni akawa ana piga kazi kwenye shimo Fulani, baadae akirudi kusalimu nyumbani kabla hajarudi hufanya mambo Fulani kujiweka sawa, ebhanaa EEH akatonywa na baba yake naye ni mastar kuwa usirudi hukoo, tulia.
Baadae ndo akaambiwa yule mwenye duara alikua amepanga kuwa zika shimoni ili kutoa kafara yani taarifa inarolewa duara limeanguka kumbe mwenye duara katoa zindiko japo si wote
Ostadh mpka anapewa dili ina maana ndio michongo yake hiyo sasa ana shangaa nnKuna ostadhi Mmoja, alipewa dili la kumuua jamaa Mmoja alikua ame hila DHAHABU, sasa huyo ostadhi ni mcha MUNGU akaenda polisi kutoa taarifa kua Kuna mtu anataka kuuliwa ili watu wapige mzigo, yule kamishina wa kile kituo akashangaa ostadhi akamwambia utakufa masikini wewe, Hilo ni dili tamu UKIPATA jingine nistue, unaambiwa ostadhi hakuamini majicho
Sanaa, Mzee wetu aliambiwa ukitaka kitajirika, toa kafara wanao, Mzee akagomaMambo ya giza ni mengi
HuyuTunajaribu kufungua bongo za watu, wanaoamini kufanya matumizi ya anasa ndio kithibitisho cha ukwasi
Balaa zito sio pakwenda kichwakichwa hukoAisee,noma sana.
Masharti ni mengi na wanayoyafanya gizani wanayajua waoSanaa, Mzee wetu aliambiwa ukitaka kitajirika, toa kafara wanao, Mzee akagoma
Vp unacheza line zote.....Natafuta chumba katoro
Unataka kusema wanawake wanateketeza hizo bil 6?Mimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS
Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.
Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
Hapana sio michongo yake Iko hivi, ostadhi na mlengwa walikua washikaji, sasa wauwaji wakamtumia ostadhi, kama chambo, yani yeye amchukue mshikaji wake amlete saiti watu wapite nae, yani yeye hauui ila ni kama anamleta mwenzake kwenye mikono ya wauwaji, sasa ostadhi akupendezwa japo aliahidiwa pesa akaona ili kumlinda mwana aende polisi mwana apewe ulinzi kumbe aaliko kimbilia ndo Kwa wenyewe, ostadhi alikimbiako kuondoka kabisaporini😂Ostadh mpka anapewa dili ina maana ndio michongo yake hiyo sasa ana shangaa nn
HaswaaaMasharti ni mengi na wanayoyafanya gizani wanayajua wao
Kula maisha jamaa yanguNimefanyaje Tena