Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Nimetoka kulizungumza hapo juu, wanawake ni changamoto pia Kwa hawa vijana, alafu wana kaushamba Fulani, demu Mmoja analiwa na wote eti wanatambiana pesa, kumhongaMimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS
Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.
Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.