Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #41
Pale kahama Kuna watu wanawatunza hawa watu wa band mpaka Huwa wanasahau kuondoka unakuta wapo mwezi mzimaWatu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja