win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
una wafuatilia kwa ukaribu sana eeh😄😄Harusi ni Leo.
una wafuatilia kwa ukaribu sana eeh😄😄Harusi ni Leo.
Yaani,Leo niliisevu kabisa😁una wafuatilia kwa ukaribu sana eeh😄😄
Ha haaaa hao mazakayo og ni balaa wanapenda sana michezo ya kuchezesha invoice,so tutapata wawili watatu hukohuko tutengeneze teamwork 😂😂😂😹😹😹 Usitoe code sasa..!!
Viwalo umeandaa vya Zakayo?
Unatakiwa wakubrush ili usiyumbe.
Uzuri wa hizi deal mpaka kina Zakayo OG huwa wana michoro yote na wanakuweka front lakini wao wapo hatua mbili mbele..!!
Kuna deal moja lilipigwa la 100m na Zakayo OG ndiye aliyetoa assist. Kuna jamaa container documents zinasoma transit kumbe kitu kinavuka border then kinarudi tena town..!! Hapo uzakayo unaenda 20% kwa gavoo 80% inarudi kwa wahabeshi..!! 😹😹😹Ha haaaa hao mazakayo og ni balaa wanapenda sana michezo ya kuchezesha invoice,so tutapata wawili watatu hukohuko tutengeneze teamwork 😂😂😂
Unaona sasa!yaani hao mazaka usijewafananisha na watamisemi wenzao,wanaishi maisha personal sana sababu ya uhabeshiKuna deal moja lilipigwa la 100m na Zakayo OG ndiye aliyetoa assist. Kuna jamaa container documents zinasoma transit kumbe kitu kinavuka border then kinarudi tena town..!! Hapo uzakayo unaenda 20% kwa gavoo 80% inarudi kwa wahabeshi..!! 😹😹😹
Hiyo michezo inachezwa sana na watu wa madawa na spare..!!
Mjini ni kutumia akili nguvu kapeleke migodini. Mazakayo ndio wazee wa kuchezesha kila sekta ukiwa nao karibu Wewe kutoboa life ni kugusa..!Unaona sasa!yaani hao mazaka usijewafananisha na watamisemi wenzao,wanaishi maisha personal sana sababu ya uhabeshi
Dah, wazee wa mabilioniHarusi ni Leo.
Nilisahau jamani hebu ngoja nikae attentive jamani, nafurahi watu wanavyokasirishwa🤭☄️
Kesho,habari za tajeer tu,Leo atakiwasha.Nilisahau jamani hebu ngoja nikae attentive jamani, nafurahi watu wanavyokasirishwa🤭☄️
Leo leo zisambae week nzimaa! Jamani ule uzi siuoni au umefutwa? Nataka nikajionee mapovu mie🙆🏽♀️Kesho,habari za tajeer tu,Leo atakiwasha.
Ni huu Uzi🤣Leo leo zisambae week nzimaa! Jamani ule uzi siuoni au umefutwa? Nataka nikajionee mapovu mie🙆🏽♀️
Kuna uzi wa gunner kupigwa ban naona umepata wafadhili, nautafuta siuoni loh!😅Ni huu Uzi🤣
Kesho watakuja hapa.
Juzi kanishushu🤣, ngoja niku tag🤣Kuna uzi wa gunner kupigwa ban naona umepata wafadhili, nautafuta siuoni loh!😅
Hivi shogaako venchwa kafia wapi?😂
SahihiHajapiga kelele huyo, mpiga kelele chief godlove, huyo mwamba kaishi haja dharau mtu ,haja tukana mtu yeye kaishi
Ngoja nitawafatilia kwa ukaribu namalizia movie yangu😆
Leo Hadi iishe,Ngoja nitawafatilia kwa ukaribu namalizia movie yangu😆
Kaka samahan, Kuna ile picha nipo na yule Binti mzanzibar, ilifutika Kwa simu yangu niliona umepost hapa Kwa huu Uzi NAOMBA unipatie kaka nashida nayo sana ni picha muhimu kwangu, tafadhaliNaona matajiri wa JF mmechafukwa. Nitangaze harusi mtakuja kuni-support au ndo hivyo tena utajiri hauhitaji kelele 😌!