Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Anatukanaga wanawake wa huku tunanuka tuna fungus na uti sugu, ila hao wasingapoo ndio wasafi k hazinuki na bado wanamchekea tu😆
Kanifata kiupole sana eti nimemfanyaje, nikamkumbusha ulitukana watu humu umesahau? Atulie tamshambilia mpaka tapo choka mwenyewe, asirudie tena kuanzisha vita asivo viweza, nguo hizohizo kila picha, yupo bar hiyohiyo, na ni usiku tu je hatembeagi hata pia hana makazi?
 
Labda ni jirani na anapolala😆
 
Back
Top Bottom