Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Huyu wa mwisho mshenzi kweli😂

Lakini sasa hivi harusi zote zitadharaulika bora pangetulia kwanza, huoni birthday ya paula ilivyopita shwaa kama upepo! Watu wako busy na billions za watu🤣
Hi kumbe kulikia na bday ya paulah, dah pesa unauza roho UKIPATA kweli we ni soooo, tunda man 's voice
 
Huyu wa mwisho mshenzi kweli😂

Lakini sasa hivi harusi zote zitadharaulika bora pangetulia kwanza, huoni birthday ya paula ilivyopita shwaa kama upepo! Watu wako busy na billions za watu🤣
Na hiki kishughuli Cha wema,atumie nguvu kubwa🤣🤣

Mama j,pili harusi kahama,watu wapo bize masikio na macho yapo mwanza.
 
Woii! Ingewekwa live azam ili tuwe busy kabisa wasanii watupumzishe kwanza, na alivyo hana shughuli ndogo! wenyewe wanavyonunuliwa na matajiri kama bidhaa hebu watupishe kidogo..! Yani mzee amejua kuwashusha viwango watu! Aiseeew! Sasa hivi hata utunze vipi watu watakujazia nzi tu, harusi zitaacha kupostiwa sasa😂💔
 
Yaani watupishe,iwe live j,pili tufuatilie 1&2.
 
Back
Top Bottom