Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Kila mtu atumie pesa zake atakavyo.Ingawa pesa za hao jamaa wa madini, wavuvi n.k hazihitaji akili nyingi na wao mambo yao yako hivyo hivyo.
Sema waafrika tuna matatizo walai,hao jamaa hata Mwanza pale hawana maji ya uhakika, si wawekeze huko.Si wajenge waviwanja sasa kama haya ya world cup USA.Afrika wengi pesa zetu haziheleweki na hazina mfumo na ndo maana hata mchango wa mija kwa moja kwa jamii huzihoni.
Wazungu private individual wamejenga ma vyuo, wamawekeza kwenye start ups, sisi huku tunaziona kuchanga kwenye harusi.
Eti pesa zao hazihitaji akili nyingi....mbonA wazazi wako wenye akili fupi hawajapata pesa?
 
PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.

Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.

Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.

View attachment 3628591
View attachment 3628596
Ukiambiwa mwafrika ni km nyani muelewe, mtu km Bill Gates kwa siku anaingiza bajeti km ya miaka 10 ya Tanzania ila hutamsikia akifanya upuuzi km huo, sasa madafu tu hayo ya kuokoteza mnafanya show off? Hata hivyo wasukuma ni washamba sana na malimbukeni, sikujua km ni majinga hivi
 
Sasa billgates anakaa katoro? Pesa zake ziko kwenye assets jua kutofautisha! Mtatukana mno wasukuma pesa azifuati wajanja tu! Vumilieni tu lol 😂
 
Ukiambiwa mwafrika ni km nyani muelewe, mtu km Bill Gates kwa siku anaingiza bajeti km ya miaka 10 ya Tanzania ila hutamsikia akifanya upuuzi km huo, sasa madafu tu hayo ya kuokoteza mnafanya show off? Hata hivyo wasukuma ni washamba sana na malimbukeni, sikujua km ni majinga hivi
 
Ukiambiwa mwafrika ni km nyani muelewe, mtu km Bill Gates kwa siku anaingiza bajeti km ya miaka 10 ya Tanzania ila hutamsikia akifanya upuuzi km huo, sasa madafu tu hayo ya kuokoteza mnafanya show off? Hata hivyo wasukuma ni washamba sana na malimbukeni, sikujua km ni majinga hivi
Yule tajiri wa India, ambani unamfahamu? alifanya harusi karibia mwezi mzima matusi kama yote kawashusha mastar wa marekani justin Bieber, Rihanna na wengine mastar wa pale India wakina Salman Khan, shahrukh Khan, wote ndani unajua aliwalipa shingapi, je na huyo ni mshamba? Kisa familia yenu masikini unalazimisha kila mtu Aishi kimaskini?
 
Yule tajiri wa India,
Chana nao!

Unamkumbuka yule zongii, nilikuwa nakwambia gari alokuwa anatembelea hii hapa!
901CC4C8-4C41-412B-A08A-77B4E3784373.jpeg
 
Wewe kijana hardware isikie tu! Pesa ipo pale halafu biashara yake ni kubwa mno! Kuna bolts na bidhaa anauza mwanza nzima hakuna mwenye nazo! Sio kila pesa nyingi mpaka madini bablai!
Hapana sikumanisha hivo, nilimanisha kama ana biashara zingine, nilitaka kujua tu, sio lazima DHAHABU nikakazia sijawahi mshikia kwenye hio biashara
 
Back
Top Bottom