Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
😂😂😂😂😂 aah wapiiHapo babati tu wanakula bata katoro mkalale
😂😂😂😂😂 aah wapiiHapo babati tu wanakula bata katoro mkalale
Uwepo wa mtu anaenizidi mimi pesa haiondoi ukweli kuwa hata mimi pesa ninayoWewe ukijiona una hela Kuna watu Wana hela zaidi Yako mkuu
Huko das lam mmejazana maskini wachangamfuNi kama vile huko katoro mmeishi nyie peke yenu eti?? Acheni uongo, kweli katoto ilingane na dar kwa bata 😃😃😃kwahiyo laki 6 nayo ni pesa ya kutetemeshea bar!!! Hapo babati tu wanakula bata katoro mkalale
Mji mdogo sana mmejazana wanyantuzu na hela zenu za ndagu, kwendeni huko hebu liheshimuni jiji la wazaramo nyie,
Kilichofanyika Katoro ni upungufu mkubwa wa akili. Kwenye nchi maskini kama hii wachache wasiojitambua wanachezea pesa badala ya kufanya mambo yatakayowapatia ajira wenzao.Mkuu funguka zaidi !
Maana mambo haya tulishazoea kuona kipindi cha miaka ya nyuma naona sahv yanataka kurudi tena
Au ndiyo kuoneshana umwamba
Ova
Nafikiri hii kitu hata Wasukuma wanayo.Sherehe zao sio tukio dogo nfo maana kwenye simulizi tulisikia Wasukuma kuolewa ilikuwa inagharimu ng'ombe nyingi ikiambatana na shughuli idumuyo siku kadhaa.Jifunze kwanza kuhusu tamaduni za harusi za India
Iko hivi kwa India, harusi huwa si tu ndoa bali ni pia onyesho la utamaduni, uwezo wa kifedha na hadhi ya familia
Ahahahaha akome kutulingishia picha za InstagramMzee wa Singapore mnamuonea😁😁
This is ego speaking. Hahaha wacha wenye hela watambeHabari za matajiri waulize maskini
SureThis is ego speaking. Hahaha wacha wenye hela watambe
Daah 😂😂😂 mwanike ughucha kule ndagu kwenyuko
Fedha ya Mgodini ni Kafala, Kutapeliana, Kuibiana, Kuuana na mauchafu mengi.NIMEONGEZA hapo juu Kuna jamaa humu ana potosha eti mi muongo, nikajua tu hawa ni wale wakusimulia alafu WANAJIFANYA wajuaji kutuzidi sisi wazawa
😂😂Bora Geita Darslam kuna bodaboda laki 460,saa yoyote unagongwa unakufa bora tuelekee Geita
Serikali Ina misafara ya kufuru barabaraniKilichofanyika Katoro ni upungufu mkubwa wa akili. Kwenye nchi maskini kama hii wachache wasiojitambua wanachezea pesa badala ya kufanya mambo yatakayowapatia ajira wenzao.
Kila mtu atakufa bnDaah 😂😂😂 mwanike ughucha kule ndagu kwenyuko
Nakuonea huruma sana mdogo wanguKila mtu atakufa bn
Endelea kuona, si mbaya!Nakuonea huruma sana mdogo wangu
Utakufa vibaya saana
Mwanike nikadhania ule na maarifa ghete kumbe Ndoho kinu duhuEndelea kuona, si mbaya!
Wereva!Mwanike nikadhania ule na maarifa ghete kumbe Ndoho kinu duhu