Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Kila mtu atumie pesa zake atakavyo.Ingawa pesa za hao jamaa wa madini, wavuvi n.k hazihitaji akili nyingi na wao mambo yao yako hivyo hivyo.
Sema waafrika tuna matatizo walai,hao jamaa hata Mwanza pale hawana maji ya uhakika, si wawekeze huko.Si wajenge waviwanja sasa kama haya ya world cup USA.Afrika wengi pesa zetu haziheleweki na hazina mfumo na ndo maana hata mchango wa mija kwa moja kwa jamii huzihoni.
Wazungu private individual wamejenga ma vyuo, wamawekeza kwenye start ups, sisi huku tunaziona kuchanga kwenye harusi.
 
Alafu ukiwakumbusha wamatumbi wanakuja kuku attack.
 
Serikali Ina misafara ya kufuru barabarani
Wabunge wanalipwa posho za kufuru,zote hizo ni Kodi za wananchi na mihela ya mikopo, huku walimu wakisota na mishahara kidogo.

Gsm ni nani asiinjoy maisha na pesa zake?
Hao viongozi wametoka kwenye familia zetu hawakushushwa kutoka mbinguni. Hivyo tusiwalaumu.
 
Hata Gsm asilaumiwe na kuonwa kama mjinga kwa pesa zake mwenyewe alizotafuta mwenyewe.
Wajinga namba Moja na washamba ni wanaotapanya fedha za serikali,wanaogelea kwenye hela za kutosha huku wananchi wao wakiwa katika dimbwi la ufukara.
 
Ile nyekundu🤭
Sera kuhusu kupiga pesa MTANDAONI HAITAJI elimu ya IT, cheza na mitandao, amini nilisha wahi vuta pesa, bila kutegemea bila jasho tena pesa kubwa, mitandao inakukutanisha na watu ambao Kwa kawaida huwezi wapata.

Kosa hela ya kula si ya bando, jichanganye, kupiga pesa siku hizi ni akili tu za mtaa na si za darasani, mtu katoa milioni 25, Instagram bila kukutana na mlengwa anae mtumia just trust tu, Kuna watu wana hela na hawana kazi nazo amini Hilo.
 
Hmm tell me more..
 
Hmm tell me more..
Kufundisha English course, Kwa miez mitatu na Zaid, itategemea mlengwa atahitaji miez mingapi, Kwa mwezi Mmoja ni EF 30 tu Kwa mtu Mmoja, Kwa njia ya chatting, watu kumi ni laki tatu bila jasho inaingia, ukijenga trust unakusanya Kijiji chako, fb, inst, TikTok huwezi kosa watu 40 Kwa mwezi una milioni 1.2 sio kazi Yako halali hiyo. Tuishie hapa sikwambii kingine, tutamwaga Michele kwenye kuku wengi, sipendi
 
Hmm hii ya english course watu wana app zao tayari! hizo za kuingia live mitandoni hata sitaweza! napenda nikae na pc yangu iniingizie pesa ila bado sijajua how!
 
Back
Top Bottom