Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Hmm hii ya english course watu wana app zao tayari! hizo za kuingia live mitandoni hata sitaweza! napenzi nikae na pc yangu iniingizie pesa ila bado sijajua how!
Achana na hao wa app, kila mtu na riziki zake, unaufahamu nilijaribu project ya kuchat na watu mbalimbali, wenye matatizo mbalimbali mi nawafanyia counselling, lakini wanani lipa? Asee hii dunia Kuna hela za Bure kama masihara tuliondoka hivo, huwezi amini hukosi raia watatu wanne na wao wanakuletea wenzao wakina dada vinara japo wao stori zao mapenzi tu
 
Mimi ndio nataka hizo sasa, nipee mbinu ya kuwapata!
 
Wafate kwenye comment kwenye post kubwa za mastar, diamond, zuchu, wambea, wakpost wewe unawahi kwenye comment, unatoa tangazo na namba zako au page Yako, unatulia zako wataanza kuja mdogomdogo, TikTok mara nyingi unamface mtu Moja Kwa Moja kwenye post yake, wadada, unakuta hana comment yeyote, we unamfata, hellow mrembo umependeza, tafadhali nione nikufundishe kingereza Kwa bei rahisi sana,ndani ya miez mitatu tu. Ata kujibi hapana dear, UTAJIBI poa baada ya wiki mbili unashangaa anakuchek
 
Kumbe hii ndio mbinu? kwakweli hakuna utafutaji mwepesi!
 
Hmm kabisa, inahitaji moyo mkuu pia!
Ukija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwa
 
Attachments

  • VID_20260703_142200_144.mp4
    11.4 MB
  • VID_20260703_141844_494.mp4
    9.8 MB
  • VID_20260703_141355_576.mp4
    10.5 MB
Ukija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwa
Huu ni mfano wa kule napo taka kufika
 
Ukija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwa
Asante sana! umefanya vizuri kusimama mwenyewe, hiyo studio una trade forex? hizo attachments naona za fx traders
 
Hivi norushad yupo huko bado zenji

Ova
 
Asante sana! umefanya vizuri kusimama mwenyewe, hiyo studio una trade forex? hizo attachments naona za fx traders
No sio Mimi hizo ni clip za MTANDAONI, nimekupa idea tu nacho taka kifanya hapo lengo sio forex ila mfano wa studio navo taka iwe.

Mi nataka ni deal na AI, ambapo ta launch kampuni kivuli itayo kia ikijihisisha na utengenezaji wa MZIKI, shot movies, cartoon, nk kupitia AI then baadae takua na app yangu kama boomplay, Spotify nk ile niuze kazi zangu tu
 
Helipad hautui kwenye njaa.!

Wamatumbi eleweni boda ya angani ni helipad.!😎

Ukiona boda iko Tandale ujue kuwapa mafua wamatumbi. 🤭
 
No sio Mimi hizo ni clip za MTANDAONI, nimekupa idea tu nacho taka kifanya hapo lengo sio forex ila mfano wa studio navo taka iwe.
Oooh kila la kheri mkuu!
Mi nataka ni deal na AI, ambapo ta launch kampuni kivuli itayo kia ikijihisisha na utengenezaji wa MZIKI, shot movies, cartoon, nk kupitia AI then baadae takua na app yangu kama boomplay, Spotify nk ile niuze kazi zangu tu
Ni sahihi hauko nje ya muda na sasa hivi watu ndio wanachofanya inawalipa, nawe fanya pia!
 
Back
Top Bottom