MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Nilikuwa bize kuhesabu pesa za mitunzo.Huja angalia hiyo harusi au umeangalia tu picha basi? Mc mwenyewe kasema
Nilikuwa bize kuhesabu pesa za mitunzo.Huja angalia hiyo harusi au umeangalia tu picha basi? Mc mwenyewe kasema
unaambiwa na akina nani?HUYU jamaa unaambiwa ni mchache kijana wa juzi, madon wa madini wametulia wanampima, watu wana pesa
Mc alisema, alafu hakuulizwa hataa kiherehere chake tuNilikuwa bize kuhesabu pesa za mitunzo.
Mi mwenyewe ni mzawa wa huko anko nazifahamu chochoro kadhaa,unaambiwa na akina nani?
Yule mc mropokaji,,kwenye harusi wamlte gara b.Mc alisema, alafu hakuulizwa hataa kiherehere chake tu
Washaanza kuchambana huko, kwamba alikua anawazibia wenzake riziki na kujifanya mpambe wa boss, mfano eti alimuomba boss amsaidie kigawa pesa we ni mc mambo ya kigawa pesa yanakuhis Nini? Fanya kazi Yako mara awaambie wapiga picha wakae chini🤣🤣🤣🤣Yule mc mropokaji,,kwenye harusi wamlte gara b.
Masimulizi ya namna yanakufanya uonekane muongo hata kama unasema ukweli.Mi mwenyewe ni mzawa wa huko anko nazifahamu chochoro kadhaa,
😉😉😉Kanda ziwa kuna watu wanapesa na leo watu wameshtuka ila walishindwa kuwa na media za dotto magari.Maana wange mkaribisha dotto leo wange mfilamba kwa moto
Wapunguze tu makasiriko hao maMc wenzieWashaanza kuchambana huko, kwamba alikua anawazibia wenzake riziki na kujifanya mpambe wa boss, mfano eti alimuomba boss amsaidie kigawa pesa we ni mc mambo ya kigawa pesa yanakuhis Nini? Fanya kazi Yako mara awaambie wapiga picha wakae chini🤣🤣🤣🤣
Dunia uwanja wa fujo kwann ukae kinyongeWapunguze tu makasiriko hao maMc wenzie
Mwenzie ndio keshapata bahati.
Ukiacha kuomba kugawa hela ukumbini,
Bado tajiri alimtuma kijijini kupeleka mzigo wa fedha Msikitini na Kanisani.
Kama wanaona anajipendekeza basi nao waende kujipendekeza.
KabisaDunia uwanja wa fujo kwann ukae kinyonge
Sio lazima uniamini anko, mana hata wewe I'd Yako ni ya uongo anko, ndo maisha kila mtu aamini kivyake nasi kuridhishana ankoMasimulizi ya namna yanakufanya uonekane muongo hata kama unasema ukweli.
Kabisa Elimu ya uwekezaji hamna, kuna kipindi brother yetu alipata Bilioni 2 machimbo ya Mwime Kahama akawa Tajiri uko mzima.Labda tuseme wamekosa elimu ya uwekezaji
Mnachokosea mnazani Watu wanafanya kujionesha,Hii harusi ni ya kawaida tu kwa kanda ya ziwa,wasukuma ni utamaduni wao,hakuna mtu anatafuta mashindano,uyo GSM wa Katoro umewahi mskia popote?Hii harusi imekuzwa na mitandao tu ila kwa kanda ya ziwa hata hawashangai,wanawashangaa nyinyi kwa kukuza vituKuna uzi humu ulionesha risiti ya mtu aliyelipa bill Dar kama sikosei ni zaidi ya 10M tena kanywa vinywaji vichache tu.
Uzuri wa Dar hadi wanawake wapo wenye pesa ndefu ila naona wasukuma wameungana kujitutumua
Madam, hela nyingi inakaa kwa watu ambao hawana moyo wa huruma hata chembe.Jamaa kamfanyia binti yake Send off kwa kadri ya uwezo wake,Sisi mbungila tunaanza kujaji utajiri wake😀😀😀😀😀😀
Huyo Jamaa Sio kinyonge tutafute hela🤗🤗🤗🤗
Mkuu funguka zaidi !Tusiwalaumu sana wanasiasa kwasababu akili zetu zipo kufanya upuuzi kama huyu tajiri wa Katoro.
Mkuu humu JF zipo nyuzi nyingi sana zinazowahusu hao jamaa.Duh kumbe haya mambo yapo kweli.
Maana yake bila kujiua aliona anakuja kuaibika angerudi kuwa kapuku na kuteseka kutumikia adhabu mbalimbali za mambo ya giza
NIMEONGEZA hapo juu Kuna jamaa humu ana potosha eti mi muongo, nikajua tu hawa ni wale wakusimulia alafu WANAJIFANYA wajuaji kutuzidi sisi wazawaKabisa Elimu ya uwekezaji hamna, kuna kipindi brother yetu alipata Bilioni 2 machimbo ya Mwime Kahama akawa Tajiri uko mzima.
Brother alikuwa hashauriki aisee, alikuja kufirisiwa na Wanawake, Yupo machimboni tena Msasa - Runzewe.
Hela za Mgodini ni chafu mnoo, kule mtu kuuwawa ni kugusa tu.
Nakumbuka Mwaka 2015 pori la Mavota lilikuwa linauwa sana sababu ya Mgodi wa Mavota, kule usaliti ni nje nje, Rafiki kukutoa roho sio maajabu.
Siku moja tunachunga ng'ombe pori la Mavota tukasikia ng'ombe wanapiga kelele kusogea tukaonana Maiti ya mtu. Ilikuwa ya mchimbaji.
Wakuu turidhike na hivi vidogo vya kwetu vinatutosha, mara nyingi inagharama yake mojawapo ujiandae hata kupoteza uhai.