ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Kuna uzi humu ulionesha risiti ya mtu aliyelipa bill Dar kama sikosei ni zaidi ya 10M tena kanywa vinywaji vichache tu.Wewe mgeni wa Dar.
Hiyo 600K kawaida sana.
Ulipokuwa Dar ulikuwa umezungukwa na kutembea na watu wa uwezo wa chini wenzio.
Nakuhakikishia nimeona 1.5M na kuendelea kwa siku vijana wadogo wanazipasua kwenye starehe hapa Dar.
Mimi mshamba mchovu tu sina network ya ndugu au rafiki matajiri. Matajiri wengi Dar hawana Mbwembwe na kelele kama wa Mikoani.
Uzuri wa Dar hadi wanawake wapo wenye pesa ndefu ila naona wasukuma wameungana kujitutumua