Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Katoro kuna ukimwi na hepatitis B, aiseee!🙌🏾Ulienda huko usiende kujiuza wanao jiuza huchakazwa sana, huko Huwa wanafungua biashara pembeni, una tega, wataanza kuja unaanza kuwapeleleza status zao akijitokeza mwenye hela zaidi huyohuyo, changamoto umeme, uwe tayari Kwa lolote