Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Mikoa ya Tanzania na mabilionea wao.Ilikuwa promo & demo ya Arusha,Daslam na muda huu ni jiji la "Katoro"! Very "cocacolastic"! Very!
Basi tu kwavile wameamua kuacha record ila watu wana pesa basi tu wengi hawajiachii! Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi, mama mmoja alikuja huwezi hata kumdhaniya alininunua bidhaa za mil 100!Elfu kumi tu napata kw shida
Jamaa wanamwaga hela zinakaa begi kubwa😂😂😂😂😂😂😂🙌
Ah Kotoro mmeweza,,mkaweza tena
Karudi jina kivipi?Anko wangu alikuwa na rafiki huko geita,aisee alikuwa anaenda mara nyingi, akanunuliwa Hadi pikipiki na huyo rafiki, mwaka huu alienda huko karudi jina🙌, yaani
😂😂😂😂Watatolewa kafara acha wajichanganye huko usukumani majamaa ni machawi kinoma,
Au wafanywe misukule maana malaya wengi dar wameshachafuliwa kiroho ni km makapi
Hakuna cha ajabu hapa. Mnaijua net worth ya mtoa zawadi?PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.
Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.
Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.
View attachment 3628591
View attachment 3628596
Naona hawawajui! Wanahisi sisi tulioko mazingira ya huko hatupaoni wao ndio warembo sana!😅Hii ni fursa pia Kwa waharamia wa migodini😁,waache wajichanganye.
Watu wanayo pesa mamaa ila mimi vinipite tu😂Mimi nikipata nafasi lazima nifike nijionee.
Kwanza zile gari barabarani ni kufuru.
Huko Katoro hakujapishana sana na Chunya.
Barabarani huwa zinapita gari za kufuru ambazo Mbeya mjini hazipo.
Nyie,watu wanayo hela🔥🔥🔥
mkuu karibu ila tambua utakavyokuja ndio watakupokea hivyo hivyo kuwa ni mikakatiAcha na mimi nikajaribu maisha huko aisee,
Huyo Gsm nimeanza kumuona miezi ya nyuma. Ukiacha hii ya leo
Ahh
Jamaa ana pesa jamani.
Hawawezi😂Huu Uzi hauchangiwi na wachaga,plus wahaya🙌
Nimesema tu.
AiseeBasi tu kwavile wameamua kuacha record ila watu wana pesa basi tu wengi hawajiachii! Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi, mama mmoja alikuja huwezi hata kumdhaniya alininunua bidhaa za mil 100!
Inshu ni ujenzi holelaserikali nasikia imeandaa mpango mji katoro inaendelea kwa kasi toka mwaka jana walipoiteua kama wilaya wawekezaji ni wengi kwasasa
Tamaa mbaya.Naona hawawajui! Wanahisi sisi tulioko mazingira ya huko hatupaoni wao ndio warembo sana!😅
Mwee🥹Kafa,huyo rafiki yake yaani,siku kafa anko na siku kafa mke wa huyo rafiki wa anko, mke alifiwa kahama,anko geita,
Sasa ikabidi anko asubirishwe mochwari, tajeer akaenda mzima mke kahama,
Jichanganye yani ni hivi jichanganyeKatoro na Kahama kuna upako wa hela
Watu matajiri jamani🙌hadi natamani kuishi huko.
Inaonekana kuna mzunguko wa Hela mzuri
Huwa tunasanifiana mkuu, pesa watu wanazo na wanazo tena, tena hao wa madini ya DHAHABU hao pesa ipo mkuuAisee
Ila watu wana hela nyie
Mtu unalalamika una maisha magumu kumbe ni wewe tu.
Watu wana hela.
Ndio maisha yalivyo dear!Aisee
Ila watu wana hela nyie
Mtu unalalamika una maisha magumu kumbe ni wewe tu.
Watu wana hela.
Hakuna tajiri hapo, mbwembwe tuUnaumia kweli
Kabisa!Tamaa mbaya.
Nisha mwambia mapema sana asifate upepoJichanganye yani ni hivi jichanganye
Alifia huko,tulipewa taarifa tu kafa,hii iliniuma sana.Karudi jina kivipi?