Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Kheee! Sasa utamiliki hizo pesa bila mguu wa kuku mama! Unajiamini nini? Kuna jamaa mmoja anaitw abaraka naye ana mashimo huko katoro, siku moja tumeenda sauna na rafkiangu, tukamuona kaja, anajiandaa kuingia akavua shati, huku nyuma naona bastola niliogopa! Sema huyu huwa ana masifa na ana ego mbaya! Kipindi hivho zimeingia anaconda mil 70 kainunua mapema sana, akiingia club ni yeye tu huko kwenye mike dooh! aisee nyie hizi pesa acheni tu!
Huyo ukimchokoza kidogo,anaichomoa🙌

Mie nisingeendelea kubaki hapo😁😁
 
Miaka hiyo home geita kulikia na ka demu kanaitwa ka ney, nilikua nakapenda sana kalikua kazuri balaa, asee nikaanza kufukuzia nilifukizia balaa, kakajaa badae nilikujaga kufatwa na mshikaji wangu Mmoja, akanitonya mjamaa alie kuwa anamiliki Hummer ndo demu wake na ndo ana gharamia, akadai asinge kua Mzee wangu kua na jina pale geita tena Kwa hao matycoon yule jamaa angenipoteza hana mchezo kabisa
 
Yaani Send off mtu anazawadia Bilioni. Enzi za JPM haya mambo hayakuwepo...VIKOSI KAZI vingekuwa tayari vimeshafanya kazi yao.

Anyway yote Maisha tu, ila sidhani kama ni sifa kujiona una hela, Mimi naona kama ni ushamba tu wa wawasukuma kushika hela uzeeni
Kikubwa watu wana hela haijalishi ni za uzeeni au la!
 
Kheee! Sasa utamiliki hizo pesa bila mguu wa kuku mama! Unajiamini nini? Kuna jamaa mmoja anaitwa baraka naye ana mashimo huko katoro, siku moja tumeenda sauna na rafkiangu, tukamuona kaja, anajiandaa kuingia akavua shati, huku nyuma naona bastola niliogopa! Sema huyu huwa ana masifa na ana ego mbaya! Kipindi hicho zimeingia anaconda mil 70 kainunua mapema sana, akiingia club ni yeye tu huko kwenye mic, dorimeee duh! aisee nyie hizi pesa acheni tu!
Hivi huyo baraka kama namfahamu alikua na migodi balaa si ndio wa geita huyo, ana kaka yake mlevi cha pombe au mwingine
 
Wacha nijiteke🥹
1783977959348.jpg
 
Hao wenye net worth wasikuchanganye achana na hizo fikra za kishamba, una mjua you tuber yule jamaa nani sijui juzi katajwa bilionea ye kadai hana hiyo hela in case of pesa halisi, hizo NAMBA tu mkuu
Unajua maana ya net worth? Kwahiyo unajaribu kutuaminisha kwamba hiyo zawadi iliyotolewa haikuwa sehemu ya net worth ya mtoa zawadi?
 
Watu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Hahahaha eti laki 2 na bendi inamtaja umejua kutudharau watu wa Dar
 
Back
Top Bottom