Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.

Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.

Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.

View attachment 3628591
View attachment 3628596
Alichofanya huyu jamaa siyo kigezo cha kifedha (HARUSI NI MAANDALIZI PENGINE YA MWAKA MZIMA)
INTELEGENT WOTE HAPA JF HAIONI SUALA HILI KAMA MAIGIZO FULANI YALIYOPANGILIWA YENYE MASIFA NA MAGARI MENGI TU YA KUKODI,HIVI MNASHINDWAJE KUONA HILI?
(HAYA NI MAIGIZO YA KISANAA TU,JAPO BINTI KWELI HUENDA AMEOLEWA LAKINI SANAA NA WASANII IPO NDANI YAKE)
 
Hakuna cha ajabu hapa. Mnaijua net worth ya mtoa zawadi?

Ukitaka kuyaangalia mambo kwa usahihi yaweke kwenye context sahihi. Consider them in relative terms, not absolute terms!

Mtu ambaye net worth yake ni TZS 5 million akitoa zawadi ya TZS 1 million (20% ya net worth yake) atakuwa ametisha kuliko mtu mwingine mwenye net worth ya TZS 25 billion aliyetoa zawadi ya TZS 2.5 billion (10% ya net worth yake)!
Hizo hekaya watu hawazitaki wanataka pesa tu ifanye matusi
 
PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.

Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.

Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.

View attachment 3628591
View attachment 3628596
Alichofanya huyu jamaa siyo kigezo cha kifedha (HARUSI NI MAANDALIZI PENGINE YA MWAKA MZIMA
 
Ni kama vile huko katoro mmeishi nyie peke yenu eti?? Acheni uongo, kweli katoto ilingane na dar kwa bata 😃😃😃kwahiyo laki 6 nayo ni pesa ya kutetemeshea bar!!! Hapo babati tu wanakula bata katoro mkalale

Mji mdogo sana mmejazana wanyantuzu na hela zenu za ndagu, kwendeni huko hebu liheshimuni jiji la wazaramo nyie,
Umepaniki bro hajasema katoro KASEMA Kanda ya ziwa ana mana Kanda nzima geita, mwanza nk
 
Kabisa Kuna dogo tumesoma nae mwanza green view miaka hiyo aliacha shule kaenda kwenye DHAHABU Kwa baba yake kapiga pesa kibao sijui alifanyaje akafulia balaa, sijui kama asharud I top tena sijamcheki miaka, ila Kuna dogo alikua burn CD pale geita town alimake pesa sio poa
Pesa zinayeyuka kama upepo, watu wanawashobokea waha kuhusu ulozi wakati ni matapeli tu, ukitaka ulozi nenda usukumani huko ndo kuna waganga konki kigoma wakarare,
 
Umepaniki bro hajasema katoro KASEMA Kanda ya ziwa ana mana Kanda nzima geita, mwanza nk
Hata hiyo kanda ya ziwa mjiungamanishe wote kuifikia dar bado sana, hebu acheni basi hao mamilionea wenyewe wakizipata wanakimbilia kuzilia huku huku dar, na wanawake wanaowakausha uzazi ni wa huku huku dar, miji yote inayochangamka kanda ya ziwa hujiita dar ndogo, nimeishi sana kanda ya ziwa hamna cha kunidanganya
 
Upo kiushabiki siwezi kukuzuia baba,
 
Back
Top Bottom