Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Kwahiyo wewe Tafsiri ya MTU mwenye pesa ni kutoa billion 1 ktk harusi ?.
Tena unge nyamaza kabisa nikiona mtu humu jf anajifanya don nasikitika, ulipitishwa mchango hapa kipindi jf imefungiwa juzi kati hapa pesa ilopatikana ni masikitiko ile ilikua pesa ya mtu Mmoja tu kutoa kwenye mfuko wa shati, we tajiri ULIKUA wapi? Au jf Haina msaada kwako?
 
Ni kama vile huko katoro mmeishi nyie peke yenu eti?? Acheni uongo, kweli katoto ilingane na dar kwa bata 😃😃😃kwahiyo laki 6 nayo ni pesa ya kutetemeshea bar!!! Hapo babati tu wanakula bata katoro mkalale

Mji mdogo sana mmejazana wanyantuzu na hela zenu za ndagu, kwendeni huko hebu liheshimuni jiji la wazaramo nyie,
Hela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.

Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
 
Hela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.

Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
Dada sio kila anaepata pesa anakimbilia kujenga kiwanda kila mtu na hoby yake, alafu matajiri wa huko huwekeza kwenye majiji makubwa, wale matajiri wa geita wamejenga mwanza tena madude haswa, kahama wamekimbilia mwanza kujenga madude tena haswa, hapo katoro Kuna dogo nimesoma nae miaka hiyo kitambo sana yule Mzee alikua keshaanza kwenda Dubai kufunga mzigo, sio dar, just imagine miaka hiyo
 
Sio urithi kijana kaanza kutafuta pesa miaka mingi sana kwa kuuza tu bolt na nuts miaka hiyo, watu wanakomaa mzee, kapambana na hiyo hardware hapo sahara, ndio sikuhizi anq hiyo ghrorfa yote yake, watu wamekuja kumjua alipoanza kununua hayo magari! Hafu ni jamaa mdogo mdogo tu!
Nielezee kidogo kuhusu sahara kuna kitu nataka nijue.
 
Mimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS

Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.

Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
Yaani mtu unapata B 6, unaimaliza kisa wanawake!

Nakubaliana na aliesema hapo juu kuwa pesa haikununulii class mindset.
 
Miaka hiyo home geita kulikia na ka demu kanaitwa ka ney, nilikua nakapenda sana kalikua kazuri balaa, asee nikaanza kufukuzia nilifukizia balaa, kakajaa badae nilikujaga kufatwa na mshikaji wangu Mmoja, akanitonya mjamaa alie kuwa anamiliki Hummer ndo demu wake na ndo ana gharamia, akadai asinge kua Mzee wangu kua na jina pale geita tena Kwa hao matycoon yule jamaa angenipoteza hana mchezo kabisa
Huyo dame alishawahi kuwa video vixen? Siku hizi anaishi dar?
 
Dar hua mnajifanya mna hela wanaume wanawaangalia tu 😄😄,watu wa Dar ni show off nyingi kwenye Instagram kiuhalisia watu hawana kitu
 
Back
Top Bottom