Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Watatolewa kafara acha wajichanganye huko usukumani majamaa ni machawi kinoma,

Au wafanywe misukule maana malaya wengi dar wameshachafuliwa kiroho ni km makapi
PESA haipo mwanza Jiji ni kubwa hapo wapo watumiaji, nenda porini huko ukawe wa kwanza kuzishika, kabla hazija pelekewa mwanza na dar
 
Mimi nikipata nafasi lazima nifike nijionee.
Kwanza zile gari barabarani ni kufuru.

Huko Katoro hakujapishana sana na Chunya.
Barabarani huwa zinapita gari za kufuru ambazo Mbeya mjini hazipo.
Nyie,watu wanayo hela🔥🔥🔥
Sizani kama katoro ina pesa kuizidi chunya sidhani asee chunya pesa ipo, nyingi sana, usicho kujua hao matajiri wa geita wana migodi chunya Hilo pia una paswa ulijue
 
Unajua maana ya net worth? Kwahiyo unajaribu kutuaminisha kwamba hiyo zawadi iliyotolewa haikuwa sehemu ya net worth ya mtoa zawadi?
Mwisho wa siku ukiacha hayo yote yakufikirika inabaki kuwa pesa ni kitu muhimu mno Angalia kwanza hata chadema wanapasuana kisa pesa tu basi...unadhani kabudi ni mjinga kusema kuwa alitolewa jalalani akapewa ulaji( pesa)?
 
Michezo ni hiyo hiyo kanda ya ziwa yote kulipo na wasukuma ulozi haukosekani, point yangu ni hivi,,,pesa wanayo ila ina mapicha picha mengi ya kishirikina
Huja tembea wewe,
Ukiwa ktk business hasa kubwa utagundua kuwa watu wengine Wana pesa ila hawajaamua kufanya vurugu yoyote.

So nyie ambao mpo shocked na 1.4B inaonekana hampo ktk circle au mzunguko wa watu wenye pesa.
Huna hela kaka tumesha sema pesa HAITAJI KELELE Fanya watu waone hao unaowasema ni mikopo hiyo pesa cash mtiti
 
Back
Top Bottom