Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Hakuna mtu anaweza kujilipua kuhamia ghafla, sehemu ambayo Bado hajaijua vizuri.
Washikaji ZANGU wengi tumezaliwa geita wote ila wametajirikia mbeyatuliza akili mbeya machimboni pesa ipo, ila konekshen muhimu sana watu wamefirisika mpaka kupata stroke, si mchezo DHAHABU inadatisha ukijaa kwenye mfumo
 
Ooh hapo sawa, naomba namimi shughuli za kuniamsha saa 11
Hahahaa🤣 zipo kibao tena hata kuto lala wakati mwingine, jumlisha na ibada, una amka una sali alafu una vuta PC, unaanza kucheki wateja oda, reply kama hizi kucheki michongo, kupitia hesabu za Jana, kupanga mipango ya siku nzima, kufatilia madeni Yako nk shughuli ni nyingi ni vile hatutilii maanani
 
Tupe hayo madili mwanetu.
 
Nimeshinda sana humu bila kazi
Sema maisha yanabadilika sana..nyakati zinabadilika.

Ila watu bwana
Kwahiyo wakikuona jf wanaona kama huna kazi
Watu wanakalili maisha ndo mana nimemwambia huyo demu hapo juu, akili za humu ni ngumu kuamini Kuna matajiri hii picha inaonesha wengi humu waajiriwa, tajiri ana mudawa kufanya chochote muda wowote maaana hana limit, kutoka Kwa mtu yeyote
 
Hamna cha pesa wala nini ni ulimbukeni tu.mo dewj tunajua ni tajiri lakini hakufabya haruhi ya gharama hivyo
Kuna pesa za kujulikana na serikali alafu kuna pesa serikali hakufahamu.Hata hapo USA unawafahamu rokafela kwanza ndio uje ulete majibu yako.

Nimekutajia hiyo familia ambayo inashikilia uchumi wa USA asilimia 85.Alafu unatangaziwa matajiri wengine kabisa
 
Watu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Wewe mgeni wa Dar.
Hiyo 600K kawaida sana.
Ulipokuwa Dar ulikuwa umezungukwa na kutembea na watu wa uwezo wa chini wenzio.
Nakuhakikishia nimeona 1.5M na kuendelea kwa siku vijana wadogo wanazipasua kwenye starehe hapa Dar.
Mimi mshamba mchovu tu sina network ya ndugu au rafiki matajiri. Matajiri wengi Dar hawana Mbwembwe na kelele kama wa Mikoani.
 
Back
Top Bottom