Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Na rudia tena kama imekuuma kuona pesa basi Mo angejikita kwenye madini mbona anauza juice
Mo hauzi juice tu bali anauza bidhaa mbalimbali kialili na siyo mshamba wa kuonesha ujinga kama aliouonesha huyo mshamba wako.Mimi siyo kaamba imeniuma bali naona ni ushamba na ulimbuken
 
Mo hauzi juice tu bali anauza bidhaa mbalimbali kialili na siyo mshamba wa kuonesha ujinga kama aliouonesha huyo mshamba wako.Mimi siyo kaamba imeniuma bali naona ni ushamba na ulimbuken
FB_IMG_1783611227588.jpg
 
Hahahaa🤣 zipo kibao tena hata kuto lala wakati mwingine, jumlisha na ibada, una amka una sali alafu una vuta PC, unaanza kucheki wateja oda, reply kama hizi kucheki michongo, kupitia hesabu za Jana, kupanga mipango ya siku nzima, kufatilia madeni Yako nk shughuli ni nyingi ni vile hatutilii maanani
Haya nipe mchongo wa namna hiyo!
 
Hela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.
Wazazi tena, wazazi wanahusikaje kwenye utajiri WA Mtoto wao.
Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
Specialization. Wao wamejikita kwenye uwekezaji WA madini, kiwanda cha juice wamekuachia wewe. Kachukue mkopo benki, fungua kiwanda chako cha juice.
 
Usinifanye nilie🥹
Hawana huruma wale, wamefanya kosa ambalo haliwezi kufutika
Freya wangemnyima basi huo ushindi wa kwanza ila sio kumtoa kwenye 3 bora.
Bora master J alivyowachamba
Japo nimefurahi master kusema ukweli ila amewakosea sana wenzake kutoka hadharani vile.

Dogo Freya keshatoa namba zake za simu,,,wale wote wanaowiwa kumsapoti kwa chochote kitu wafanye hivyo.

Kwa hali ilivyo
Mwakani mshindi wa kwanza wa BSS atatoka aidha Tanzania au Kenya.
Kwa namna yoyote ikiwezekana hata kutoa kafara Congo na Uganda kama walivyofanya mwaka huu kutoa kafara Kongo top,3 wasiwepo kwa Sababu tu walishinda mwakajana.
 
Wazazi tena, wazazi wanahusikaje kwenye utajiri WA Mtoto wao.

Specialization. Wao wamejikita kwenye uwekezaji WA madini kiwanda cha juice wamekuachia wewe. Kachukue mkopo benki fungua kiwanda chako cha juice.
Point yako nimeipata
Hongera kwao sababu kupata pesa au kua na biashara ikatusua sio jambo jepesi
 
Ila twende mbele turudi nyuma
Huyo GSM wa Katoro kaweza kaweza tena
Hata kama mnasema ni limbukeni.
Ila jamaa pesa anayo🙌
Wanafkiri kujionesha unaonesha makalio! Hata wamuiteje pesa anayo iwe mshamba limbukeni amezipata uzeeni ila pesa kaishika buana! Wanaongea kwa uchungu na kutukana wasukuma wote kama vichaa, sijui nani kawaambia wachimbaji wote ni wasukuma! We kaa na dar yako alivyokuwa anajionesha hakuitaja hiyo dar yenu, mbona kawakusanya hao wajanja wenu kina ally sijui ndaro kwenda kuwaburudisha! Lol unaweza ukawa mjanja wa mjini ila mia huna! Kachemshe ujanja wako unywee supu😂imewauma ******* mbwa hawa! binafsi nimetafuta wa kuwachangisha hata m10 tu nimekosa😂
 
Yule sijui ndio ndugu yake Alikiba
Anaokote zile Dollar kama amechanganyikiwa
Ahh nyie
Katoro mmeweza🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Pesa zinawekwa kwenye Ile pool
Inatupiwa bunda Zima la Milioni,
Bunda la laki 5
Hakuna kuweka sijui Elfu kumi mojamoja.
Ah
Katoro wameweza Bwana🔥🔥🙌🔥🔥
 
Yule sijui ndio ndugu yake Alikiba
Anaokote zile Dollar kama amechanganyikiwa
Ahh nyie
Katoro mmeweza🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ikidondoka tu anayo! Walikuwa hawachekeshi! Mwingine ana begi kabisa kalishikilia anaweka pesa za mshamba wa katoro! Wanaume wa dar bwana😂
Pesa zinawekwa kwenye Ile pool
Inatupiwa bunda Zima la Milioni,
Bunda la laki 5
Hakuna kuweka sijui Elfu kumi mojamoja.
Ah
Katoro wameweza Bwana🔥🔥🙌🔥🔥
Ela wanayo, watu waache makasiriko ya kifala, mwanaume mzima kakazana kumlinganisha tajiri na kina elon sijui Mo, si ujilinganishe naye wewe nyoooh!🚮
 
Ikidondoka tu anayo! Walikuwa hawachekeshi! Mwingine ana begi kabisa kalishikilia anaweka pesa za mshamba wa katoro! Wanaume wa dar bwana😂

Ela wanayo, watu waache makasiriko ya kifala, mwanaume mzima kakazana kumlinganisha tajiri na kina elon sijui Mo, si ujilinganishe naye wewe nyoooh!🚮
Yaani ye jamaa Kama anataka kuwehuka anavyohangaika na zile hela pale chini
Nyie hebu tuwe siriazi
Gsm pesa ipo😂😂😂😂😂

Kwanza ile hundi inavyosomwa
Eti bilioni Moja na Milioni 4 tu
Hiyo billioni hata niungane na kaka zangu na Dada zangu wote tujichange hatufiki hata nusu.

Watu wana hela jamani
 
Back
Top Bottom