Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Wewe mgeni wa Dar.
Hiyo 600K kawaida sana.
Ulipokuwa Dar ulikuwa umezungukwa na kutembea na watu wa uwezo wa chini wenzio.
Nakuhakikishia nimeona 1.5M na kuendelea kwa siku vijana wadogo wanazipasua kwenye starehe hapa Dar.
Mimi mshamba mchovu tu sina network ya ndugu au rafiki matajiri. Matajiri wengi Dar hawana Mbwembwe na kelele kama wa Mikoani.
Hapo mwisho kwenye mbwembwe umezingua madon wa dar mikwala sana
 
Usenge tu, matajiri wa maana kama akina Bakhresa au Mo huwezi kukuta wanafanya usenge huo

Tafuta video Musk anafanya mausenge hayo utupostie humu

Hao sio matajiri ni washamba waliopata pesa
Mtafute mjukuu wa bakhresa fujo anazo zifanya, hao matajiri ukitaka kuziona Bata zao nenda nje, mkuu huko unakutana na watu usio wategemea Kuna watu ukiwaona unashangaa, hivi na huyu ana kunywaga pombe
 
Katoro ni habari nyingine nilipita juzi kwenda site nikabaki mdomo wazi watu wanajenga aisee.
Nilifika hadi Bukombe watu wanachimba tu dhahabu ,Nilifikia hotel fulani hapo ushirombo inaitwa royal villa asubuhi ukiamka kwenda Site Wachimbaji waliopo hapo ni kula bata kuanzia asubuhi yaami wanatumia pesa hawana cha weekend walanini, Magari wanayotumia sasa kufuru. Siku za mgao sasa unakuta madogo wachimbaji wanajaa wanakula maisha hadi wasanii kina tunda man wanaletwa kuwa burudisha.
Dhahabu ukiipatia ni njia rahisi kuukimbia umasikini.
We jamaa unaufahamu vitu, Huwa wanamgao unakuta wamerundikana balaa, wengine wachafu kinoma, ila pesa zinazo mwagwa
 
Mtafute mjukuu wa bakhresa fujo anazo zifanya, hao matajiri ukitaka kuziona Bata zao nenda nje, mkuu huko unakutana na watu usio wategemea Kuna watu ukiwaona unashangaa, hivi na huyu ana kunywaga pombe
Zayed ni mjinga fulani tu katika ukoo wa Bakhresa, janja ana show off kiaina lakini sio kama za hao wafukua dhahabu wa Geita

Kwa pesa alizozikuta kwao kama angeamua kufanya hizo mbanga angekuwa maarufu sana Tz nzima ila ni wachache sana wanaomjua Zayed kwa sababu sio mshamba wa pesa

Wanakula bata lakini huwezi kukuta wanafanya mambo ya ******* kama ya hao Wasukuma
 
PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.

Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.

Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.

View attachment 3628591
View attachment 3628596
Ni Msukuma sio?
 
Zayed ni mjinga fulani tu katika ukoo wa Bakhresa, janja ana show off kiaina lakini sio kama za hao wafukua dhahabu wa Geita

Kwa pesa alizozikuta kwao kama angeamua kufanya hizo mbanga angekuwa maarufu sana Tz nzima ila ni wachache sana wanaomjua Zayed kwa sababu sio mshamba wa pesa

Wanakula bata lakini huwezi kukuta wanafanya mambo ya ******* kama ya hao Wasukuma
Sasa atafanya kufuru gani pesa ya familia alafu hao wajamaa wa madini ni self made huyo kula Bata mpaka aombe Kwa Mzee ilihali wazee wa madini wanazisaka wenyewe
 
D41A0866-A5FE-445A-A409-DD11B7D6BCF3.jpeg

Mawardat Saint Anne Nuzulati mnaachwa😂💔
 
Back
Top Bottom