Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Unataka kunambia hao matajiri wa katoro hakuna hata mmoja mwenye akaunti jf? Hakosekani hata mmoja ila uwezo wa kuzurula kila uzi humu ndo atakua hana sababu wapo busy
Labda hivyo...ila watu wana pesa sana kitaani ila ukiwa humu jamii forum kila kitu ni kigumu...mfano lete mada ya kuomba ushauri wa kilimo cha mpunga utasikia kilimo cha kutegemea mvua ni kamari mno ila sasa chakushangaza ukienda huko wanakolima mpunga unakuta watu wanapiga mshindo mno na wana pesa...
 
Nakubali watu wana pesa mtu hawezi kumwaga billion 1 ambayo hana
 
Huo siyo uhuru bali ni ushamba na ulimbukeni.Kwahiyo Mo dewj unamlinganisha na huyo mshamba wa hela?
Mimi namuona Mohammed ni mshamba sana kuliko tajiri murj wa ndanda fc kwasababu yeye hata siku moja hautaona anamuuliza mchezaji nani anaekulipa pesa kama sio mimi au kumuona anasusasusa timu kama demu vile mohamed
 
Zayed ni mjinga fulani tu katika ukoo wa Bakhresa, janja ana show off kiaina lakini sio kama za hao wafukua dhahabu wa Geita

Kwa pesa alizozikuta kwao kama angeamua kufanya hizo mbanga angekuwa maarufu sana Tz nzima ila ni wachache sana wanaomjua Zayed kwa sababu sio mshamba wa pesa

Wanakula bata lakini huwezi kukuta wanafanya mambo ya ******* kama ya hao Wasukuma
Pesa za migodini zipo hivyo
 
eneo hilo ukitaka kuwekeza
kuna wapi na wap
yaani namaanisha uwekeze kwenye nini sio direct kwenye madini
hapana biashara ipi inazunguka mtu akienda huko

hapa naona tunadiscus tu ela zao
inabidi tudiscus pia unaweza enda ukawekeza nn huko
 
Back
Top Bottom