Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Yaani ye jamaa Kama anataka kuwehuka anavyohangaika na zile hela pale chini
Nyie hebu tuwe siriazi
Gsm pesa ipo😂😂😂😂😂


Kwanza ile hundi inavyosomwa
Eti bilioni Moja na Milioni 4 tu
Hiyo billioni hata niungane na kaka zangu na Dada zangu wote tujichange hatufiki hata nusu.

Watu wana hela jamani
Kabisa! Hakuna haja ya kuchukia kila mtu atumie billion zake anavyotaka!😂
 
Aliwafanyaje hao two innocent guys?
uzi upo humu wataalam wataufukunyua,jamaa ilifika siku yake ya kutoa kafara ni kama alikuwa ajajiandaa/ajaiandaa so akaanza kubet kwa watu waliomzunguka lakini ikawa aitoshi mpaka alipoamua kujilamba shaba yeye mwenyewe.
Na yeye before alikuwa na hilo hilo life la kiturist kuzunguka dunia nzima kuuza madini sijui.
Hii JF ukiishi nayo vizuri ni mwalimu mzuri sana wa ulimwengu huu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
We cheka tu sisi ndio tuko njiani hapa naongoza msafara😂
F5323ED4-A4DC-4B4A-A9AC-B859984F7901.jpeg
 
uzi upo humu wataalam wataufukunyua,jamaa ilifika siku yake ya kutoa kafara ni kama alikuwa ajajiandaa/ajaiandaa so akaanza kubet kwa watu waliomzunguka lakini ikawa aitoshi mpaka alipoamua kujilamba shaba yeye mwenyewe.
Na yeye before alikuwa na hilo hilo life la kiturist kuzunguka dunia nzima kuuza madini sijui.
Hii JF ukiishi nayo vizuri ni mwalimu mzuri sana wa ulimwengu huu.
Duh kumbe haya mambo yapo kweli.
Maana yake bila kujiua aliona anakuja kuaibika angerudi kuwa kapuku na kuteseka kutumikia adhabu mbalimbali za mambo ya giza
 
Back
Top Bottom