mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Sasa mtajuaje kama ana hela 😄Huo ndio ushamba sasa tunaousema.watu wenye pesa hawana huo ushamba
Kabisa binti yake hajaenda kinyonge 😄Jamaa kamfanyia binti yake Send off kwa kadri ya uwezo wake,Sisi bungila tunaanza kujaji utajiri wake😀😀😀😀😀😀
Huyo Jamaa Sio kinyonge tutafute hela🤗🤗🤗🤗
Mbona wao hawajajengea wenzaoWamenuna😁,pesa zake anatumia atakavyo.
Wao wanamshauri ajengee Kijiji,hiyo government yao yenyewe unaitumia pesa zao watakavyo wao.
Mpendwa
Mimi nimemjua kwa Mc NsenaAmini ni wengi sana huyo mzee hawakuwa wakimfahamu, na ndiyo pesa inataka hivyo.
Ionekane kwenye matukio maalumu tu.
Yeah, kuna kipindi fulani hivi pia walimtakaga aingie kwenye ubunge, mzee alikataa.Mimi nimemjua kwa Mc Nsena
Mzee amemwaga pesa kijijini kwake za kujenga Msikiti na Kanisa
Mzee hela inaongeaYeah, kuna kipindi fulani hivi pia walimtakaga aingie kwenye ubunge, mzee alikataa.
Mpendwa nimeshapata nyumba ukuje kipenzi 😁Mpendwa
Safari yako ya Geita usiniache
Watu wa geita,Kahama na Katoro namna mmeanza kutupanda kichwani Darslam!!Watu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Umeishiwa kifurushi nikuunge mrembo, mbona kimya au umeenda kudanga?🫵🫵🫵🤣🤣🤣🤣🫣🫣Watu mna maneno🤣🙌
Huyo sio Binti yake wa kumzaa, amemlea tu kama mwanae ila si mwanaeJamaa kamfanyia binti yake Send off kwa kadri ya uwezo wake,Sisi mbungila tunaanza kujaji utajiri wake😀😀😀😀😀😀
Huyo Jamaa Sio kinyonge tutafute hela🤗🤗🤗🤗
Sio Binti yake amen mlea tu kama mwanaeKabisa binti yake hajaenda kinyonge 😄
Ova
Watu mmejuaje haya?Sio Binti yake amen mlea tu kama mwanae
Huja angalia hiyo harusi au umeangalia tu picha basi? Mc mwenyewe kasemaWatu mmejuaje haya?