Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kuna vituko humu jf, usiombe ukakuta sasa maadui zako wameungana, wanachekesha🤣 kama mapumbavu!Na wanakuchambulia Hadi ukoo wako🤣🤣🤣
Kuna vituko humu jf, usiombe ukakuta sasa maadui zako wameungana, wanachekesha🤣 kama mapumbavu!Na wanakuchambulia Hadi ukoo wako🤣🤣🤣
Ana TUMIA I'd yake nyingine kucomment😆😆😆Nyuzi zake zinabumaga,sema anajiongeleshaga mwenyewe🤣🤣
Sana,dawa yao kupita nao hivi🚶♀️🚶♀️,Kuna vituko humu jf, usiombe ukakuta sasa maadui zako wameungana, wanachekesha🤣 kama mapumbavu!
Kuna member huyu ephen, eti ye kila Uzi au Niki comment tu ananikosoa yani sijawahi mfurahisha, dah ila baadae nikajua anautaka UTAMU wangu huyo demu🤣Kuna vituko humu jf, usiombe ukakuta sasa maadui zako wameungana, wanachekesha🤣 kama mapumbavu!
kamandaMimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS
Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.
Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
🤣🤣🤣🤣🤣,🤣🤣🤣🤣 Kako singida kanadai singapore
Nasisitiza acha kutisha watu,Sasa mbona una bwabwaja, kwenye show usio husika? Utakuja ulambwe makofi ohooo🫵🤣🤣🤣
Sasa upo machimboni? Tutakuamini vipi? Au unatafuta wa kumpiga hela?Nasisitiza acha kutisha watu,
Mtu akitaka kuja machimboni aje atafute ridhiki.
Na makofi nayataka ndiyo.....
Baada ya hapa sitojibu tena,Sasa upo machimboni? Tutakuamini vipi? Au unatafuta wa kumpiga hela?
Unajua mana ya kitisha mtu? Nimetoa tahadhari, mbona husemi wale nilio washauri waende kuangalia kwanza na si kuhamia ghafla bin vuu, hapa tunaaambiana positive and negative impacts zilizoko huko, hapana hamna mpiga debe na matapeli kuwashjawishi watu wake kichwa kichwa mnaishia kuwapiga hela zao na kuwakimbia, be care ful takiweka kwenye kundi la watu hatarishi, yu bela wochi yua bak in dudu baya 's voiceBaada ya hapa sitojibu tena,
Kilichonileta hapa ni baada ya kuona unatisha watu wasije kichwa kichwa machimboni.
Machimboni ni sehemu ya kutafutia ridhiki kama zilivyo sehemu zingine, mtu akija na connection yake vizuri anapiga hela bila hata kuingia duarani.
Na sioni haja ya kukupa ushahidi wowote maana haikusaidii kitu, ila tu ujue levo ya kuingia duarani nishavuka kitambo sana.
Kwenye issue hii nani kapiga kelele hapo, au hauelewi maana ya neno 'kelele' lilivyotumika katika muktadha huu?Mnasemaga pesa haitaki kelele ila mwamba anapiga kelele na pesa haikimbii.
Hata mi sijakulqzimisha ujibu ni wewe tuBaada ya hapa sitojibu tena,
Kilichonileta hapa ni baada ya kuona unatisha watu wasije kichwa kichwa machimboni.
Machimboni ni sehemu ya kutafutia ridhiki kama zilivyo sehemu zingine, mtu akija na connection yake vizuri anapiga hela bila hata kuingia duarani.
Na sioni haja ya kukupa ushahidi wowote maana haikusaidii kitu, ila tu ujue levo ya kuingia duarani nishavuka kitambo sana.
Nyie mmezidiMbona washirikina wa kwenu sio matajiri?
Hela za mauzauza hakuna jamii ina maisha ya kijima kama hiyoHela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.
Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
Nipo rada...ngoja nimpigie jamaa atutengenezee kabisa vitambulisho safiiii vya zakayo tukiingia Katoro hatucheki na wowote,yaani sisi ni special task from Makao makuu😂😂😂😹😹😹 Wasukuma wameleta balaa..!!
Hapo tunaenda kama Zakayo kuchukua kodi zetu.. kaa rada nikitua JKNI nakushtua..!!
😹😹😹 Usitoe code sasa..!!Nipo rada...ngoja nimpigie jamaa atutengenezee kabisa vitambulisho safiiii vya zakayo tukiingia Katoro hatucheki na wowote,yaani sisi ni special task from Makao makuu😂😂😂
Harusi ni Leo.Hiyo harusi yao ivi ni lini ?