Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa,,,je noti hii itakubaliwa?Hiyo Ni noti, siyo pesa. Ili noti iitwe pesa ni lazima iwe na sifa ya kukubalika(acceptance). Ni sifa muhimu Sana ya pesa.
Nini tofauti Kati ya pesa na fedha?Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.View attachment 2716510
Imepoteza sifa hiyo ya kukubalika. Hata Bank watapata changamoto kwa sababu ni kipande. Ungekuwa na vipande vyote viwili, bank wangeipokeaNimekuelewa,,,je noti hii itakubaliwa?
Ahsante mkuuImepoteza sifa hiyo ya kukubalika. Hata Bank watapata changamoto kwa sababu ni kipande. Ungekuwa na vipande vyote viwili, bank wangeipokea
Unakumbuka scenario ya Cain na Abel?Kaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa
NakaziaKaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa
Nilishalipwa kama hivyo nikaenda nmb wakaniambia siwezi badilishiwa kwakua hakuna namba za upande wa pili angalau zingekuwepo kadhaa kwakua wakibadili akija mtu na kipande kingine naye abadilishiwe inaleta utata cha msingi kauze kwa wazee wa pesa mbovu nahisi unaweza pata 5k kama sijakoseaWakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.View attachment 2716510
Weee lazima j2 ijayo waseme kuna mtu alileta hela mbovu. Mfano ninaposali kuna mtu anato sana hela za kenya za zamani yaani wanalalamika kila jumapili😂😂Kaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa
Mkuu hao wazee wa pesa mbovu wao hua wanazifanyaje/wanazitumiaje hizo pesa mbovu?Nilishalipwa kama hivyo nikaenda nmb wakaniambia siwezi badilishiwa kwakua hakuna namba za upande wa pili angalau zingekuwepo kadhaa kwakua wakibadili akija mtu na kipande kingine naye abadilishiwe inaleta utata cha msingi kauze kwa wazee wa pesa mbovu nahisi unaweza pata 5k kama sijakosea
Mungu apokei vinyongeKaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa
Hata sijui kwakweli ila naamini kuna namna wanazibadili na wanapata faida. Na muda mwingine wanauzia watu wanaopewa masharti ya waganga kuna hela pale zinauzwa mpka laki 3 na unakuta ni kashilingi ka zamani tu.Mkuu hao wazee wa pesa mbovu wao hua wanazifanyaje/wanazitumiaje hizo pesa mbovu?
Nimecheka sana , kwa hiyo lengo lake ni nini huyu jamaa !!Weee lazima j2 ijayo waseme kuna mtu alileta hela mbovu. Mfano ninaposali kuna mtu anato sana hela za kenya za zamani yaani wanalalamika kila jumapili😂😂
Bora ingekua watoto ni mtu mzima kabisa na sio mara moja. Watu hawana hela na kutokutoa sadaka mtu anaona aibu. Ilishafikia kioindi watu wanatoa mikono mitupu watu kanisani wako 100 sadaka inapatikana 20k mpka mchungaji akaongea kwakua walishtukia mchezoNimecheka sana , kwa hiyo lengo lake ni nini huyu jamaa !!
Ila hii dunia ina watu aseee 😂😂😂 au ni madogo wa sunday school mkuu !!!
😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣Kaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa
KabisaMungu apokei vinyonge
Kama huna sadaka huwa inabidi ukae viti vya mwanzo kanisani 😂😂 maana watu wakinyanyuka kutoa sadaka huwa wanawahi kurudi kwa hiyo ni ngumu kujua umetoa au hutoi kwa wale wenye aibu sasa ukikaa nyuma jau utaonekana maana watu mpaka wazunguke warudi !!Bora ingekua watoto ni mtu mzima kabisa na sio mara moja. Watu hawana hela na kutokutoa sadaka mtu anaona aibu. Ilishafikia kioindi watu wanatoa mikono mitupu watu kanisani wako 100 sadaka inapatikana 20k mpka mchungaji akaongea kwakua walishtukia mchezo