Pesa hii itakubaliwa?

Pesa hii itakubaliwa?

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.
PXL_20230813_165031760.jpg
 
Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.View attachment 2716510
Nilishalipwa kama hivyo nikaenda nmb wakaniambia siwezi badilishiwa kwakua hakuna namba za upande wa pili angalau zingekuwepo kadhaa kwakua wakibadili akija mtu na kipande kingine naye abadilishiwe inaleta utata cha msingi kauze kwa wazee wa pesa mbovu nahisi unaweza pata 5k kama sijakosea
 
Mkuu hao wazee wa pesa mbovu wao hua wanazifanyaje/wanazitumiaje hizo pesa mbovu?
 
Mkuu hao wazee wa pesa mbovu wao hua wanazifanyaje/wanazitumiaje hizo pesa mbovu?
Hata sijui kwakweli ila naamini kuna namna wanazibadili na wanapata faida. Na muda mwingine wanauzia watu wanaopewa masharti ya waganga kuna hela pale zinauzwa mpka laki 3 na unakuta ni kashilingi ka zamani tu.
 
Weee lazima j2 ijayo waseme kuna mtu alileta hela mbovu. Mfano ninaposali kuna mtu anato sana hela za kenya za zamani yaani wanalalamika kila jumapili😂😂
Nimecheka sana , kwa hiyo lengo lake ni nini huyu jamaa !!
Ila hii dunia ina watu aseee 😂😂😂 au ni madogo wa sunday school mkuu !!!
 
Nimecheka sana , kwa hiyo lengo lake ni nini huyu jamaa !!
Ila hii dunia ina watu aseee 😂😂😂 au ni madogo wa sunday school mkuu !!!
Bora ingekua watoto ni mtu mzima kabisa na sio mara moja. Watu hawana hela na kutokutoa sadaka mtu anaona aibu. Ilishafikia kioindi watu wanatoa mikono mitupu watu kanisani wako 100 sadaka inapatikana 20k mpka mchungaji akaongea kwakua walishtukia mchezo
 
Kama huna sadaka huwa inabidi ukae viti vya mwanzo kanisani 😂😂 maana watu wakinyanyuka kutoa sadaka huwa wanawahi kurudi kwa hiyo ni ngumu kujua umetoa au hutoi kwa wale wenye aibu sasa ukikaa nyuma jau utaonekana maana watu mpaka wazunguke warudi !!
Muhuni akaona isiwe tabu akatupia fedha za kigeni
 
Back
Top Bottom