Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
- Thread starter
- #21
Kwamba mashetani wamekuwa malaika na malaika tumekuwa mashetani 😂 😂 Sema malaika wetu mkuu tutamkumbuka sana, huyu malaika alietuachia hatumsomi.. yeye yuko huko anawaongoza malaika wa mbinguni kama alivyosema..😅unakumbuka awamu ile matajiri walivyokuwa wanaishi kama mashetani? ..bado hamjasema., yaani mpaka msemee!