Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa yako?

Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa yako?

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Bandugu habari zenu,

Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
 
Hina mahaana hujuhi kuwa pesa yakoho Hina nguvu !!! Hujuhi kuwa hinapotekea tatihizo hinahitajika pesa haraka..jifuhunze kutuhumia hakili bro wangu
 
IMG_1950.jpg

majibu kwa picha.
 
Kuna matatizo hayamalizwi kwa fedha, ila fedha inamalizwa na hayo matatizo. Pia kuna matatizo huondolewa kwa fedha kama kupata makazi bora, usafiri bora na lishe bora.
 
Back
Top Bottom